Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
- #21
Kumbe na we ka mimi tu,tena bora mimi naijua harufu...Asee mi nilidhani mahindi yalokaangwa kwenye sifuria yakatwangwa ndo yakamwagwa chini!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na we ka mimi tu,tena bora mimi naijua harufu...Asee mi nilidhani mahindi yalokaangwa kwenye sifuria yakatwangwa ndo yakamwagwa chini!!!
Kinakupeleka dunia ingine na ukikutana unakua umeingia zaid na zaid!Mmm kinasaidia nini?
Haha aseeKinakupeleka dunia ingine na ukikutana unakua umeingia zaid na zaid!
Kama sio hatari kwa future ya "FUTURE KIDS' ningetafuta dem anayepia au nimfundishee...
[emoji23] unakimezea mate sioUkishaakitumia tupe na majibu...tuelewe cha wapi hicho..ila natamani ningekuwa kando yako wakati unajinafasi....daah..!!
scopio me umeshamtoboa mtu machoo?I mean unae anaekupenda kwamba ukim-call anakuja faster,nasema hivi coz isije stim ikakimbilia kusikofaa kutaniwa ukatoka nje na khanga moko kutaka kudaka hata bodaboda driver mkacheze macho kodo[emoji12]Asee sina ndoa wala houseboy,i guess itakua more exciting[emoji39] [emoji23]
Yategemea na ndonga yako.. Bichwa panzi unazima, unaweza kutoka uchi ukijua umepiga kaunda suti.. N.k[emoji23] [emoji23]![]()
Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....
Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya siti[emoji23][emoji23]kama zali vile....
Sijui alijisahau mwenyewe,nkakitia kune mkoba ka sio mimi...
Sasa today is the day...
Mkiona kimya jamani mjue nshazima...au hakizimishi???[emoji276]
[emoji23] aseee mnanitisha sasa...scopio me umeshamtoboa mtu machoo?I mean unae anaekupenda kwamba ukim-call anakuja faster,nasema hivi coz isije stim ikakimbilia kusikofaa kutaniwa ukatoka nje na khanga moko kutaka kudaka hata bodaboda driver mkacheze macho kodo[emoji12]
Asee[emoji23]Yategemea na ndonga yako.. Bichwa panzi unazima, unaweza kutoka uchi ukijua umepiga kaunda suti.. N.k[emoji23] [emoji23]
Rafiki nataka nikupe zawadi![emoji1][emoji23] aseee mnanitisha sasa...
Wa kum call akaja yupo,si ndo huyo nilomwibia hiyo kitu...
Zawadi gani? Niijue kwanza[emoji276]Rafiki nataka nikupe zawadi![emoji1]
Rafiki nataka nikupe Mshana Jr ujichukulie mazimamazima bure kabisa bila kulipa hata senti kumi![emoji1][emoji116]Zawadi gani? Niijue kwanza[emoji276]
AseeRafiki nataka nikupe Mshana Jr ujichukulie mazimamazima bure kabisa bila kulipa hata senti kumi![emoji1][emoji116]
Basi hapo kiroho safi nenda kaishughulikie,kama pana kaugolo somewhere changanya kidogo...nakuhakikishia utaiona New York kwenye sebule yako bila hata visa.[emoji23] aseee mnanitisha sasa...
Wa kum call akaja yupo,si ndo huyo nilomwibia hiyo kitu...
Mweh huo mjani sumu kumbeBasi hapo kiroho safi nenda kaishughulikie,kama pana kaugolo somewhere changanya kidogo...nakuhakikishia utaiona New York kwenye sebule yako bila hata visa.
Note.mseto huu ulishawahi kumfanya mtu nnae'mfahamu akaogea maji simtank 1000lt still akaona hajatakata akaenda kuchukua maji ya mama mwenye nyumba kwenye jaba ili ajisuuze,kilichomtokea usitake kuambiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aseeeBasi hapo kiroho safi nenda kaishughulikie,kama pana kaugolo somewhere changanya kidogo...nakuhakikishia utaiona New York kwenye sebule yako bila hata visa.
Note.mseto huu ulishawahi kumfanya mtu nnae'mfahamu akaogea maji simtank 1000lt still akaona hajatakata akaenda kuchukua maji ya mama mwenye nyumba kwenye jaba ili ajisuuze,kilichomtokea usitake kuambiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naeza niende hadi HESLB kudai changuaseee yan ukiona ivo vimbegu mbegu kama vitunda ujue iko chenyewe cha jamaica....
feedback muhimu, kunachalii alichimba shimo la choovalone kwa masaa 12, sasa sijui wew utafanya kituko gani!
Nikupe hongera kwa kumpata anayetumia iyo sakrament [emoji106] [emoji106] [emoji106]![]()
Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....
Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya siti[emoji23][emoji23]kama zali vile....
Sijui alijisahau mwenyewe,nkakitia kune mkoba ka sio mimi...
Sasa today is the day...
Mkiona kimya jamani mjue nshazima...au hakizimishi???[emoji276]
Mbona wakubwa zetu hutukataza?Nikupe hongera kwa kumpata anayetumia iyo sakrament [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Tumia dada ni tree of wisdom inaongeza confidence na tambua watu wengi wanafail maisha au malengo yao kwa kukosa confidence na hakuna chuo kinachofundisha confidence