mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,541
Wanakataza ili usipate utambuzi fanya reseach kwa jamaa yako utagundua ana confidence pia si falafala kama anatumiaga daily inampa afya njema si mgonjwa mgonjwa anaweza maliza miaka hajaona hospitalMbona wakubwa zetu hutukataza?
Fanyia research niliokwambia then leta mrejesho