Cha wapi hiki?

Cha wapi hiki?

Mbona wakubwa zetu hutukataza?
Wanakataza ili usipate utambuzi fanya reseach kwa jamaa yako utagundua ana confidence pia si falafala kama anatumiaga daily inampa afya njema si mgonjwa mgonjwa anaweza maliza miaka hajaona hospital

Fanyia research niliokwambia then leta mrejesho
 
I like the packing kwa kweli [emoji108]
Ila hiyo ni dume ina kushabu nyingi, its suppose to be jike ...
 
Back
Top Bottom