Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Hujakiona apo kune picha?sijaelewaaaaaaa.
ngoja nivae miwaniHujakiona apo kune picha?
[emoji23] asee me ndo naanza leo buana...Wavuta bangi hawa ndio lugha zao!!
Unatumia niniJamaica hyo
Kumbe inahitaji msosi eeeh...hahahaha ule kwanza usije hisi chumba ulichomo ni jehanam
Kumbe inahitaji msosi eeeh...
Sante kwa taarifa maana
utaelewa siku ya mtihani.sijaelewaaaaaaa.
Asee sina ndoa wala houseboy,i guess itakua more exciting[emoji39] [emoji23]Komea milango na madirisha kama home pako na house boy usijekuzima akakuchezea kunako ukavunja ndoa kwa kuzaa kid wakufanana na h/boy.
[emoji23] aseee
Haha doh sitajinyea kweli?Chemshia chai kijiko kimoja utafurahi mwenyewe
Asee mi nilidhani mahindi yalokaangwa kwenye sifuria yakatwangwa ndo yakamwagwa chini!!!
Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....
Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya siti[emoji23][emoji23]kama zali vile....
Sijui alijisahau mwenyewe,nkakitia kune mkoba ka sio mimi...
Sasa today is the day...
Mkiona kimya jamani mjue nshazima...au hakizimishi???[emoji276]
Mmm kinasaidia nini?Piga hakinaga shida icho...
Tena kwa wewe mrembo ukipata na ka-wine alafu uingie mchezoni...
Mbona bae atakuletea daily.