Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Jumbe zilisemaje?Nimecheka sanaaa baada ya kusikia stori hiiii
=============
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, aliyekuwa akimtumia ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu - akimtongoza, licha ya kuonywa mara kadhaa lakini hakuacha.
Chacha amesema mwanadada huyo aliendelea kumtumia ujumbe huo, hali iliyomlazimu kuchukua hatua kwa kulifikisha suala hilo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), hatua ambayo amesema ilimfanya Sophia kuacha kabisa kumtumia ujumbe.
Amesema kabla ya kufikia hatua ya kutoa taarifa kwa RPC, alitumia njia mbalimbali za kumfikia mwanadada huyo kupitia wajumbe waliokwenda kumuonya na kumtaka kuacha kumtumia ujumbe wa aina hiyo, lakini juhudi hizo hazikuzaa matunda.
Jamaa ana ufala, Alisoma Seminary?.Nimecheka sanaaa baada ya kusikia stori hiiii
=============
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, aliyekuwa akimtumia ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu - akimtongoza, licha ya kuonywa mara kadhaa lakini hakuacha.
Chacha amesema mwanadada huyo aliendelea kumtumia ujumbe huo, hali iliyomlazimu kuchukua hatua kwa kulifikisha suala hilo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), hatua ambayo amesema ilimfanya Sophia kuacha kabisa kumtumia ujumbe.
Amesema kabla ya kufikia hatua ya kutoa taarifa kwa RPC, alitumia njia mbalimbali za kumfikia mwanadada huyo kupitia wajumbe waliokwenda kumuonya na kumtaka kuacha kumtumia ujumbe wa aina hiyo, lakini juhudi hizo hazikuzaa matunda.
Wewe umeongea kiutu uzima sanaMmeingia ngoma ya kizembe sana huyo meseji alipata mke wake wakiwa wanatumiana ili kunusuru ndoa akaona iwe public na kujifanya kumshirikisha RPC na kila muda kujifanya kumuongelea na ukute alishamla mkipata taarifa za upande wa pili mtaelewa vizuri...
Wahuni wana mbinu nyingi sana aisee
Kuna dogo mmoja alitoka home kwake alidanganya yupo na mimi Daslm simu yake iliisha chaji kabla hata ajawasiliana na mimi na gari yake ina changamoto ya kuchaji kwa mawasiliano ni mpaka anunue chaji ya nyumba ndio tuwasiliane ile asubuhi na mapema mke wake akanipigia simu kabla ya yule Mzinzi shemeji upo na fulani hapo hotelini niliambiwa mpo wote Daslm asubuhi hiyo nipo kitandani ikabidi nimjibu ndio nipo nae ila yeye kawahi store akirudi utawasiliana nae kupitia mimi au atakupigia..Wewe umeongea kiutu uzima sana
Sidhani kama alimtafuna Bali inawezekana alitumia wahuni kumtafuna huyo Sophia, Sophia anatakiwa afunguke huko huko mahakamani alichofanyiwa na mkuu wa mkoaMmeingia ngoma ya kizembe sana huyo meseji alipata mke wake wakiwa wanatumiana ili kunusuru ndoa akaona iwe public na kujifanya kumshirikisha RPC na kila muda kujifanya kumuongelea na ukute alishamla mkipata taarifa za upande wa pili mtaelewa vizuri...
Wahuni wana mbinu nyingi sana aisee