Chacha kuna mwananchi ambaye ni mwanamke alinitongoza, nikabidi nilifikishe kwa RPC

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, ambaye alifikishwa Polisi baada ya kumtumia ujumbe wa simu wenye maneno ya kumtongoza.

Kwa mujibu wa Chacha, mwanamke huyo aliendelea kutumia ujumbe huo licha ya kuonywa mara kadhaa, hali iliyomfanya suala hilo kufikishwa kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC).

Chacha amesema hata baada ya kufikishwa kwa RPC, mwanamke huyo hakukata tamaa, na alijaribu tena kufikisha ujumbe kwa njia mbalimbali kupitia watu waliokuwa wakimuona na kumtaka aache kutumia ujumbe wa aina hiyo.

Lakini swali linabaki, Kumtongoza kiongozi kwa ujumbe wa simu ni kosa la jinai, au ni suala ambalo linapaswa kuishia kwenye kukataliwa tu? 🤔

Chanzo : chanzania yetu
 
Sidhani kama alimtafuna Bali inawezekana alitumia wahuni kumtafuna huyo Sophia, Sophia anatakiwa afunguke huko huko mahakamani alichofanyiwa na mkuu wa mkoa
Sophia alitafunwa mkuu hawezi kufunguka now ashapigwa mikwara mizito.
 
Jibu lake
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1EaEnDY5mj/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…