Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Mbunge hana kosa lolote. KATIBA yetu ndio inasema sifa ya mgombea ubunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika. Sasa kama chako kikikupitisha kugombea na wananchi wakakuchagua unakuwa umetenda kisa gani?. Ni mwendo wa kutii maamuzi ya Chama bungeni. Need of KATIBA mpya kuweka standards zinazoendana na wakati tulionao kupata proper MPS.
 
Mambo yanazidi Kuwa Mambo, jana haikua siku nzuri sana Kwa Mbunge wa Bunda baada ya Waraka kusomwa na Yeye kupewa nafasi asalimie. Ilikua kama vile kukutana na Mkwe ukiwa uchi! Anyway tuyaache hayo.

Mbunge anasema hakuweza kusoma mkataba kwahio Wala asilaumiwe Kwa lililotokea! Aaghh guess who is next?

Mambo yanazidi Kuwa Mambo, Jana haikua siku nzuri sana Kwa Mbunge wa Bunda baada ya Waraka kusomwa na Yeye kupewa nafasi asalimie...... Ilikua kama vile kukutana na Mkwe ukiwa uchi! Anyway tuyaache hayo.

Mbunge anasema hakuweza kusoma mkataba kwahio Wala asilaumiwe Kwa lililotokea! Aaghh guess who is next?
View attachment 2723445
Ukiwa kwenye mtumbwi ukaona kuna sehemu unaingiza maji mengi na unaweza kuogelea basi jitose kwenye maji ili uiokoe nafsi yako.
 
Mambo yanazidi Kuwa Mambo, Jana haikua siku nzuri sana Kwa Mbunge wa Bunda baada ya Waraka kusomwa na Yeye kupewa nafasi asalimie...... Ilikua kama vile kukutana na Mkwe ukiwa uchi! Anyway tuyaache hayo.

Mbunge anasema hakuweza kusoma mkataba kwahio Wala asilaumiwe Kwa lililotokea! Aaghh guess who is next?
View attachment 2723445
Chama kimejaa watu wanafiki wasio na akili
 
Back
Top Bottom