Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Kwani hujui sifa ya kuwa mbunge tz? 🤣🤣Bora kukaa kimya, anajiabisha zaidi, unagombeaje ubunge kama lugha rasmi hujui?
Kw
Kwani hujui sifa ya kuwa mbunge tz? 🤣🤣
Tubuni na kuiamini injili. Amesamehewa, aenende kwa Amani.
Ukiwa kwenye mtumbwi ukaona kuna sehemu unaingiza maji mengi na unaweza kuogelea basi jitose kwenye maji ili uiokoe nafsi yako.Mambo yanazidi Kuwa Mambo, Jana haikua siku nzuri sana Kwa Mbunge wa Bunda baada ya Waraka kusomwa na Yeye kupewa nafasi asalimie...... Ilikua kama vile kukutana na Mkwe ukiwa uchi! Anyway tuyaache hayo.
Mbunge anasema hakuweza kusoma mkataba kwahio Wala asilaumiwe Kwa lililotokea! Aaghh guess who is next?
View attachment 2723445
Ukisikia NYANI KATEMA BUNGO ndiyo hii sasa.Itafahamika tu.
Ukisikia NYANI KATEMA BUNGO ndiyo hii sasa.
Huwa ni maagizo ya chama tuHivi,bungeni huwa kuna mitungi ya mvinyo uleweshao?[emoji848]
Chama kimejaa watu wanafiki wasio na akiliMambo yanazidi Kuwa Mambo, Jana haikua siku nzuri sana Kwa Mbunge wa Bunda baada ya Waraka kusomwa na Yeye kupewa nafasi asalimie...... Ilikua kama vile kukutana na Mkwe ukiwa uchi! Anyway tuyaache hayo.
Mbunge anasema hakuweza kusoma mkataba kwahio Wala asilaumiwe Kwa lililotokea! Aaghh guess who is next?
View attachment 2723445
Ukisikia disco kaingia Mmasaai basi ndiyo hiviKabisa wanakuja wenyewe maana maji yashakorogeka.
Wanaagizwa hadi ujinga na wanatekeleza!Huwa ni maagizo ya chama tu
Hivi mjomba tangu lini ccm wamewahi kuwa na machungu na wananchi wa Tanzania?Chama kimejaa watu wanafiki wasio na akili
Hahaha 🤣Ukiwa kwenye mtumbwi ukaona kuna sehemu unaingiza maji mengi na unaweza kuogelea basi jitose kwenye maji ili uiokoe nafsi yako.
Ukisikia disco kaingia Mmasaai basi ndiyo hivi
Yes, unaitwa 'pesa" hahaha ukiwaahiidi tu wanaelewaHivi,bungeni huwa kuna mitungi ya mvinyo uleweshao?🤔