PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Wengi watakuja madhabauni kutubu usifanye masihara na katoliki wakiamua Jambo lao...bado Samia tunamsubiri aje kutubu mbele ya madhabau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo umemsutaWe mbunge Bora ungepiga kimya unajiaibisha Sana,yaani unakaa kwenye chombo Cha maamuzi halafu kumbe ni maimuna! Looooooh! Na kesi tunazoshindwa huko nje na kulipa mapesa ya faini kumbe mfumo ndiyo huu huu.kwa hivyo kumbe akina mwabukusi wako sahihi!
Bora kukaa kimya, anajiabisha zaidi, unagombeaje ubunge kama lugha rasmi hujui?
Huyu ni mmoja tu aliyethubutu kusema ukweli anaoufahamu. Bila shaka kuna wengi wenye mawazo kama yake ambao wako kimya kutokana na hofu tu. Kupitisha kwa Bunge kulikofanyika ni kwa mazingira tu.
"Rais sa100 ametia saini mkataba bora na uliotukuka utakaowanufaisha wananchi wa kijani hivyo kuwafanya wawe na nyuso za furaha na matumaini" Lucas mwashambwaNakala kwa : Lucas Mbwa wa Shamba.
Kuna lugha ya kuongea na ile ya kwenye madude Kama hayo ya dp weld.Bora kukaa kimya, anajiabisha zaidi, unagombeaje ubunge kama lugha rasmi hujui?
Pumbavu kabisa. Hii ndio laana kwenye nchi.
Pole tumekusamehe
We jamaa upo kama kinyonga! Hujulikani rangi yako halisi.Chadema wekeni mgombea Mbarali 😄😄🔥
Tunaelekea pazuri au ndio taifa linaangamia kwa kuwa na viongozi wapumbavu kama huyu mbunge aliyeendekeza tamaa ya pesa na kukubali kupitisha mkataba kwa kura ya ndio!?Tunaelekea pazuri mnooo kama taifa. Asante.
bora afukuzwe ccm awe na amani ya moyo kulko kuwa genge la samia..
Msishangae huyu Mbunge akafukuzwa huko CCM.
Kuna jambo anataka kulituma kwenye vyombo vya habari.Kikwete anafungua kanisa la Wasabato huko Mara niko hapa You Tube namsikiliza
Wakatoliki hatunaga sheria za kijinga na za kizamani(primitive), kumwagiwa moyo ni ruksa, kila mtu kadiri ya uwezo wakeMbona kuna chupa yenye bia ndani yake, kanisa linahusika na bia?