Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Mambo yanazidi Kuwa Mambo, Jana haikua siku nzuri sana Kwa Mbunge wa Bunda baada ya Waraka kusomwa na Yeye kupewa nafasi asalimie...... Ilikua kama vile kukutana na Mkwe ukiwa uchi! Anyway tuyaache hayo.

Mbunge anasema hakuweza kusoma mkataba kwahio Wala asilaumiwe Kwa lililotokea! Aaghh guess who is next?
View attachment 2723445
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko!
 
Sasa hapa ni wangapi wa aina yake ? Huyu kawa mkweli na kawakilisha kundi kubwa. Katema ndoana
 
Hivi ndugu yangu naomba unisaide hapa ni nani mtu wa kuusoma mkataba wakisheria akauelewa na kutoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi yetu.

1.Kibajaji
2.Jah people.
3. Msukuma
4.
5.
6.
Mbali na ELIMU, dhamira pia ni ndogo!!

Mbarawa ni Prof, lakini Elimu kaiacha nyumbani!!

Musoma mjini waliwahi kumchagua Mbunge wao Jina aliitwa Nyerere kupitia CDM, Elimu yake ilikuwa kidato Cha nne pekee, lakini mchango wake ulionekana.

The late Wangwe,Prof Jay, Sugu, Wana average educatn bt Wana mchango,

Tukifanikiwa kuondoa RUSHWA nchini, yeyote mwenye dhamira na Nia ya dhati msikivu, mwenye kupokea ushauri, anaweza kuwa kiongozi Bora .
 
Mbali na ELIMU, dhamira pia ni ndogo!!

Musoma mjini waliwahi kumchafua Mbunge wao Jina aliitwa Nyerere kupitia CDM, Elimu yake ilikuwa kidato Cha nne pekee, lakini mchango wake ulionekana.

The late Wangwe,Prof Jay, Sugu, Wana average educatn bt Wana mchango,

Tukifanikiwa kuondoa RUSHWA nchini, yeyote mwenye dhamira na Nia ya dhati msikivu, mwenye kupokea ushauri, anaweza kuwa kiongozi Bora .
Nakubaliana na mchango wako ila pia kwenye suala la wabunge linategemea sana na chama gani mbunge anatoka.

Mbunge hata kama ni mweupe kichwani lkn anaweza kuwa na mawazo ya kimaendeleo na kizalendo lkn sasa chama husika kikamfunga mdomo.

Tunaongea kwa ref,kumbuka yule mbunge Ole Medei aliwahi kusema kuwa kwenye nyakati za kupitisha mambo magumu ndani ya bunge wabunge wa ccm huwa wanaambiwa nini cha kuongea bungeni.
 
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko!
Hawa hapa
IMG-20230820-WA0121.jpg
 
Nakubaliana na mchango wako ila pia kwenye suala la wabunge linategemea sana na chama gani mbunge anatoka.

Mbunge hata kama ni mweupe kichwani lkn anaweza kuwa na mawazo ya kimaendeleo na kizalendo lkn sasa chama husika kikamfunga mdomo.

Tunaongea kwa ref,kumbuka yule mbunge Ole Medei aliwahi kusema kuwa kwenye nyakati za kupitisha mambo magumu ndani ya bunge wabunge wa ccm huwa wanaambiwa nini cha kuongea bungeni.
True100%

Tunatakiwa twende beyond hapo, suala kama Lina maslah mapana ya nchi, Uzalendo na Taifa kwanza.

Gwajima angesikiza msimamo wa chama chake, watumishi wa Sirikali wangepigwa Chanjo Kwa lazima .

Mgombea binafsi pia ni muhimu akaweko Ili wazalendo wasizamishwe.
 
Hivi yule mbunge kijana mwenye hoja na aliekuwa anainanga serikali juu ya huu mkataba walishampiga biti au? Maana sikuhizi kimya kimezidi sana simsikii akimwaga mawe.

Where is Luhaga Mpina?
 
Mambo yanazidi Kuwa Mambo, Jana haikua siku nzuri sana Kwa Mbunge wa Bunda baada ya Waraka kusomwa na Yeye kupewa nafasi asalimie...... Ilikua kama vile kukutana na Mkwe ukiwa uchi! Anyway tuyaache hayo.

Mbunge anasema hakuweza kusoma mkataba kwahio Wala asilaumiwe Kwa lililotokea! Aaghh guess who is next?
View attachment 2723445
Walidanganywa?
Walidanganyana?
Wameturoga?
Wanatudanganya?
 
Back
Top Bottom