Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

True100%

Tunatakiwa twende beyond hapo, suala kama Lina maslah mapana ya nchi, Uzalendo na Taifa kwanza.

Gwajima angesikiza msimamo wa chama chake, watumishi wa Sirikali wangepigwa Chanjo Kwa lazima .

Mgombea binafsi pia ni muhimu akaweko Ili wazalendo wasizamishwe.
Tatizo la ccm kama kawaida wanajiona wao wana akili nyingi kuliko watanzania wote.
 
Back
Top Bottom