Hahahahaha mkuu unataka watu waache gari zao home? Wwe ni wa upande upi Sedan, SUVs, au MPVs??? Maana kwa ulichokiandika huwezi kuwa mdau wa Hatchbacks[emoji23][emoji23][emoji23]Kwasababu shape na size zao zinafanana na the real baby walker below...
View attachment 919808View attachment 919808
Watu wa miraba minne mfano ni ngumu kujining'iza kwenye daladala la Buza Kkoo[emoji3]aisee....kumbe kuna sura za kupiga ngondi na kugombea daladala?
Public transport zina utam wake...Stress free...
Kama avatar yangu...Kama wewe.
Kuna wale ni 5XXL hawawezi mkuu hata kuendesha kirikuu hawaeneiWanatumia misuli kugombea siti...
Kabisa[emoji23][emoji23]duh huyo hawezi maanake hata kupita katikati ya viti asogee mbele shida.
Kuna sura za by ngondi mkuu. Hata ukizikuta zimepark pembeni huumizi kichwa kama itakuwa yake akiisogelea ndipo unashangaa.aisee....kumbe kuna sura za kupiga ngondi na kugombea daladala?
Mungu anakuona! Umenikumbusha mbali sana, kama miaka kumi iliopita niliwahi kuambiwa 'ndio shida yenu mnaoendesha gari za baba'Kuna sura za by ngondi mkuu. Hata ukizikuta zimepark pembeni huumizi kichwa kama itakuwa yake akiisogelea ndipo unashangaa.
Kuna kamama fulani kadoogo kadoogo saana . Kanapenda migari mikubwa... kanabadilisha mara Fortuner, mara Chev. suburban ila hakafanani nayo sura yake ya by ngondi. Ukikaona unashangaa
Haha...ukiona kijana 30 anaendesha Nissan patrol na mengine ya aina hiyo mara nyingi kama sio dereva wa Kampuni ya baba.Mungu anakuona! Umenikumbusha mbali sana, kama miaka kumi iliopita niliwahi kuambiwa 'ndio shida yenu mnaoendesha gari za baba'
Dooo..basi wanawake wote wakalii..msitubague.Kama wewe.
Kwahiyo sura yako ni ya by ngond?i..😀Mungu anakuona! Umenikumbusha mbali sana, kama miaka kumi iliopita niliwahi kuambiwa 'ndio shida yenu mnaoendesha gari za baba'