Chachawema

Chachawema

Why they called 'em bby walker[emoji85]
Kwasababu shape na size zao zinafanana na the real baby walker below...
1541229725446.png
1541229725446.png
 
Hahahahaha mkuu unataka watu waache gari zao home? Wwe ni wa upande upi Sedan, SUVs, au MPVs??? Maana kwa ulichokiandika huwezi kuwa mdau wa Hatchbacks[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi daladala tu...masikini jeuri.
 
aisee....kumbe kuna sura za kupiga ngondi na kugombea daladala?
Kuna sura za by ngondi mkuu. Hata ukizikuta zimepark pembeni huumizi kichwa kama itakuwa yake akiisogelea ndipo unashangaa.

Kuna kamama fulani kadoogo kadoogo saana . Kanapenda migari mikubwa... kanabadilisha mara Fortuner, mara Chev. suburban ila hakafanani nayo sura yake ya by ngondi. Ukikaona unashangaa
 
Mungu anakuona! Umenikumbusha mbali sana, kama miaka kumi iliopita niliwahi kuambiwa 'ndio shida yenu mnaoendesha gari za baba'
 
Mungu anakuona! Umenikumbusha mbali sana, kama miaka kumi iliopita niliwahi kuambiwa 'ndio shida yenu mnaoendesha gari za baba'
Haha...ukiona kijana 30 anaendesha Nissan patrol na mengine ya aina hiyo mara nyingi kama sio dereva wa Kampuni ya baba.
 
Back
Top Bottom