CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!


[TD="width: 186, align: right"] Comoros[/TD]
[TD="width: 51"] 0 - 1 [/TD]
[TD="width: 186"]Mozambique[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"] FT[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Djibouti[/TD]
[TD="width: 51"] 0 - 4 [/TD]
[TD="width: 186"]Namibia[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"] FT[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Eritrea[/TD]
[TD="width: 51"] 1 - 1 [/TD]
[TD="width: 186"]Rwanda[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"] FT[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Seychelles[/TD]
[TD="width: 51"] 0 - 3 [/TD]
[TD="width: 186"]Kenya[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"] FT[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Swaziland[/TD]
[TD="width: 51"] 1 - 3 [/TD]
[TD="width: 186"]DR Congo [/TD]
 
Nizar Khalfan according to Fifa.com au Mrisho Ngassa according to Aboodmsuni blog sasa sijui tuelewe kipi?
 
List ya poulsen aliyotoa kabla ya mechi ni tofauti na wanaocheza ni tofauti. Samata wapi?
 
Nfungaji wa bao la Taifa Stars ni MRisho Ngassa dakika ya 11 jamaa wakasawazisha dakika moja baadaye
 
vijana inaonekana wamesharidhika na hiyo draw kama kocha wao alivyotaka, tuombee tu hao chad wasiotee goli lingine maana kwa stars yetu ndio itakuwa ngoma imelala.
 
tanzania 2 na chad 1 mfungaji nurdin bakari na mfungaji wa goli la kwanza ni ngasa
 
[SIZE=-1]
flash.gif
84'
[/SIZE]
Chad [1 - 1] Tanzania
 
Wenye matokeo na updates naoomba mtujuze
 
Back
Top Bottom