Chad: Mkuu wa Majeshi afukuzwa kazi baada ya kumkosoa Rais

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mkuu wa Majeshi nchini Chad, Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi kumkosoa Rais Idriss Deby.

Katika barua yake, mkuu huyo alimlaumu Rais kuwasahau rafiki zake waliokuwa wote jeshini, kusini mashariki mwa Chad, Guera.

Pia alizilaumu mamlaka kwa kutowalipa fidia walioumizwa na ukatili wa Hissene Habre, aliyekuwa Rais kabla ya Idriss Deby.

Serikali ya Chad imesema, mkuu huyo hatapata fidia yoyote.

====

A Chadian army general, Ahmat Koussou Moursal, has been removed from the armed forces after writing an open letter criticising President Idriss Deby.

The Chadian government said the sacked general will not be entitled to any pay or compensation, but did not give reasons for his removal.

In the letter, Gen Moursal accused President Deby of having abandoned his former comrades-in-arms from Guera, a locality in south-eastern Chad.

He also accused Chadian authorities of not compensating the victims of former President Hissene Habré's brutality.
 
Safi sana rais fukuzia mbali, huku kuwekana wekana kwa kigezo cha kujuana ndio kumetufikisha hapa tulipo.
 
Naipongeza serikali ya awamu ya tano kwa jambo hili.
 
Anataka serikali gani ya kishikaji wakati imeshajaa washikaji kibao wa Idris Deby na kabila lake za zaghawa.
 
Hata huku kwetu ana uwezo huo sema tuu hajaamua.
 
Karma
 
August 12, 2020
Chadian President Idriss Deby has been named Africa’s new field marshal by his parliament.
Chadian Marshal President Idriss Deby is Africa’s new field marshal
 
11 April 2020
N'Djamena, Chad

Shughuli nzima ya Bunge la nchi ya Chad kumpandisha cheo Rais jenerali Idriss Deby kuwa na cheo cha juu cha Field Marshal .

 
August 12, 2020
Chadian President Idriss Deby has been named Africa’s new field marshal by his parliament.
Chadian Marshal President Idriss Deby is Africa’s new field marshal
Field Marshall kaning'inizwa na wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…