mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Alidhani wahuni wataogopa hicho cheo alicho jipachikaaField Marshall kaning'inizwa na wahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alidhani wahuni wataogopa hicho cheo alicho jipachikaaField Marshall kaning'inizwa na wahuni
Huyu wakitakiwa wamtembeze mtaani utupuAlidhani wahuni wataogopa hicho cheo alicho jipachikaa
Yametimia [emoji26]Hii ni hatari kama wenye madai kama hayo ni wengi jeshini, wanaweza hata kumpindua.
Eti akajipeleka front kupigana[emoji23][emoji23]Hamna kitu kibaya Kama kutofautiana na jeshi la nchi.
Hakuna RAISI aliewah tofautiana na jeshi akabaki salama.
Kwa ilo namsifu Sana JPM,
Idara zote alikaba, madaraja, mishahara, posho n.k
Ila kule JESHINI Mambo yalikua yanakwenda Kama kawaida
Ndo maana ata wananchi mkilalamika Hakuna la kumfanya maana JESHINI kapaweka vizuri.
Nnachokiona kosa kubwa alifanya Ni kumtimua mkuu wa majeshi kwa kuwatetea wanajeshi wenzie.
Mkuu wa majeshi nimtu Muhim Sana, ana wanajeshi lukuki wanaomtii yeye kuliko ata RAISI mwenyw.
Unapomtimua kihuni,
Unasababisha wanajeshi waanze kufkiria uhasi.
Na ili ndo limemcost yeye pamoja na uyu mwanae alieapishwa na kuuwawa ndani ya SAA 24.
RAISI ALIKUA NA KIBURI CHA KIPUMBAVU.