Uchaguzi 2020 CHADEMA achaneni na sera ya Majimbo, sera ya ukata itafaa zaidi

Uchaguzi 2020 CHADEMA achaneni na sera ya Majimbo, sera ya ukata itafaa zaidi

Kama kwa miaka 59 ya Uhuru mfumo uliopo haujaleta maendeleo ya kweli hakuna namna mfumo huu ukaleta maendeleo Tanzania!

Sera ya majimbo ndo mzizi wa maendeleo ya kweli ya watanzania. Nyie mnalishwa ujinga na CCM mnaukubali wakati CCM wanatumia mwanya wa ku control hela zote za nchi kufanya mambo yao.

Leo hii sehemu zina migodi ya dhahabu ila zina umasikini wa kutumwa hata maji ya kunywa wanakunywa ya matope.

Siri ya maendeleo ya kweli Tanzania ipo kwenye mfumo wa majimbo. Endeleeni kuwasikiliza CCM alafu hela zenu ziendelee kutumika kwenye makampeni ya CCM na kujenga viwanja vya ndege vijijini kwa maraisi
 
Katika hizi kanda kuna makabila mbali mbali, mengine makubwa vingine vidogo. Sisi wa vikabila vidogo si ndo tutamezwa kabisa. Kila kura za kuchagua mkuu wa mkoa kabila kubwa wanashinda. Sisi vikabila vidogo hata kazi za ufagizi tutakosa.
Kwani vikabila vidogo vinapataje wabunge sasa hivi?
 
Back
Top Bottom