CHADEMA acheni kelele zisizo na kichwa wala miguu. Mikutano ya siasa huzuia maendelzo, kuweni wapole

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Acheni kujichetua akili na kujifanya hamjui kitu.

Mmesahau operation Sangara ilivyokuwa inasababisha watu wasifanye shughuli za maendeleo?

Mmesahau yule kijana mmachinga wa Morogoro alivyouwawa sababu ya mikutano yenu?

Kubalini ukweli tu mikutano ya siasa inasbabisha kuingilia rabiba za watu na kushindwa kufanya shughulinzao.

Acheni watanzania wafanye shughuli za kiuchumi. Wakati wa kampeni ukifika mtanadi sera zenu.
 
Mkuu na ACT walikuwa wanalalamika kuzuiwa mikutano ya kisiasa, wakemee na wao ! 🤣🤸‍♂️🐒
 
Wafanye mikutano ya ndani hakuna tatizo au mbunge afanye jimboni kwake, hatutaki wazururaji kwenye majimbo ya wengine, kama hilo hawataelewa basi wapigwe adi wachakae
 

Tungekua na president mwenye msimamo nadhan izi kupelekshwa kusingekuepo, fanya iki fanya kile tuskilize sisi zaidi, damn!
 
Wewe ni mjinga wa katiba na umejaa giza la CCM.
 
Chadema wanashambuliwa kwa kutetea haki zao za kikatiba, Kama taifa tuko kubaya
 
Yaani kuna watanzania wanaoamini kuwa maneno na matendo ya raisi ndiyo sheria. Katiba na sheria zenyewe wao haziwahusu. Sasa kunafaida gani ya kuwa navyo?
 
Chadema wanafuata katiba.kwenye mikutano hawalazimishi mtu kwenda na mtu kama ana majukumu yake hawezi kuyaacha kisa tu mkutano.mtoa mada jenga hoja yako vizuri ueleweke na sio kuandika hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…