Chadema acheni kusomba watoto waje kwenye mikutano yenu

Chadema acheni kusomba watoto waje kwenye mikutano yenu

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
CHADEMA CHADEMA CHADEMA

Mmeishiwa sasa mnakusanya watoto? Yaani wakati mama anafanikisha ujenzi wa madarasa na kuwatengenezea mazingira mazuri ya kupata elimu, nyie mnawatoa watoto mashuleni maana huu ni muda wa kuwa darasani mnawapelekea kwenye mikutano yenu.

Hii si sawa kabisa. Acheni hii tabia.

1693845579732.jpeg

1693845599150.jpeg
 
mimi nawaomba sana polisi kufanya kazi yao kwa uweledi kama ilivyo kawaida uchaguzi wa mwakani serikali za mitaa
 
Jinyonge....japo si kweli hao ndio taifa la leo na kesho, wacha wapate darasa juu ya ukombozi wa nchi kutoka ccm na wajomba zao
 
Chadema bhana, watoto wakiwa kwenye mikutano ya ccm wanasema wanawanyima haki yao ya kukaa shule kusoma, ila watoto wakiwa kwenye mikutano ya chadema wanasema ndio kizazi kitakachokuja kuwaondoa ccm madarakani

cc: Erythrocyte
 
angalia kikundi hiki cha wahuniiiii kinapanga madaraka
 

Attachments

  • Screenshot_2023-09-04-20-49-24-502_com.mi.globalbrowser.jpg
    Screenshot_2023-09-04-20-49-24-502_com.mi.globalbrowser.jpg
    132.7 KB · Views: 2
Wewe kahaba mzee wenye akili wote tunakudharau
Kaka umekosea kumtukana na ww unakuwa kama yeye sasa huyu ni mtu anastahili kumuelewa na kumvumilia ili Aliejuu ampe bahati ya kujitambua .kwanza sio muislamu ni anamuonekano huo tu.kaka naomba msamaha kwa niaba yake
 
Akili za kupasuliwa nyuma zinajulikana......lini Chadema wakawa na akili kama za ccm
 
Mimi naona Siasa za Tanzania ndio maana HATUNA Maendeleo.

Inawezekana kabisaz Vijana wa CCM, ndio Vijana mbumbumbuuuuu wanafikiii wa kutupwa.


Hivi Nyomi ya Chadema, la watu wanaojileta wenyewe kuanzia wazee Kwa watoto bado unalifananisha na ujinga wa CCM.

CCM bila Polisi , Asubuh kweupe ,inaanguka .
 
Back
Top Bottom