MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
Yaani ukiona majitu mengine humu yanavyochangia upuuzi ndio utagundua ile tungo makini ya Bibie Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee yakuitwa Wanaume kama mabinti inavyo apply kwa malaya huyo wa Lumumba!Hahahahahaaaaa
Kunya anye kuku akinya Bata KaharishaKwani wewe ni nani?. Mbona Jimama aliita wafanyabiashara wote wakubwa na kuwachangisha kabla uchafuzi mkuu, alikuwa wapi kuanzisha thread?.
akina heche wanachangisha pesa kwa ajili ya kujikimu maisha wao kama viongozi wa chadema na sio kwaajili ya msiba, hiyo artwork yenye nembo ya chama ni geresha tu.Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
Kuna ufisadi huko wa pesa kumegwa hujayazungumzia na kuumia.Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
Kafie mbele !!Wamekuomba hela .Shimo la Lukuvi weweWazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
Walimuiba mama yako?
Hali mbaya mmechanganyikiwa mnatukana tuu CHADEMA imekufaWameiba pumbu zako wewe matacore ya umbwa?
Cdm imekufa tunasikia zaidi ya miaka 10 sasa. Lakini uchaguzi ni lazima uporwe.Hali mbaya mmechanganyikiwa mnatukana tuu CHADEMA imekufa
ACT sio wawakilishi wa cdm kwenye lolote. Uzuri Marehemu mwenyewe alijiunga na cdm baada ya kuona ACT wanajipendekeza kuomba haki kwa kwa ccm, wakati cdm walikuwa wanadai haki. Yaani kwa maneno marahisi hata marehemu aliikubali sana cdm, hutaki jinyonge.Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004