MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
- Thread starter
- #21
Komredi hapana aisee. Hayati Bwege alikuwa mzalendo na mjenga hoja mzuri. Hawa wahuni kutumia msiba wake kupiga hela inakera sana.akina heche wanachangisha pesa kwa ajili ya kujikimu maisha wao kama viongozi wa chadema na sio kwaajili ya msiba, hiyo artwork yenye nembo ya chama ni geresha tu.
wana hali mbaya sana kiuchumi hao akina heche, si unajua hawana ajira.
mi nadhani waachwe tu wachangishe maana ndicho wanachoweza, lakini ndio hivyo tena walishasema wahenga kwamba kufa kufaana.