CHADEMA acheni mara moja kuchangisha watu wakati tayari ACT wameshasema watagharamia msiba wa Hayati Bwege

Hahahahahaaaaa
Yaani ukiona majitu mengine humu yanavyochangia upuuzi ndio utagundua ile tungo makini ya Bibie Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee yakuitwa Wanaume kama mabinti inavyo apply kwa malaya huyo wa Lumumba!

Shabhashhhh
😅😅😅
 
Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
akina heche wanachangisha pesa kwa ajili ya kujikimu maisha wao kama viongozi wa chadema na sio kwaajili ya msiba, hiyo artwork yenye nembo ya chama ni geresha tu.
wana hali mbaya sana kiuchumi hao akina heche, si unajua hawana ajira.

mi nadhani waachwe tu wachangishe maana ndicho wanachoweza, lakini ndio hivyo tena walishasema wahenga kwamba kufa kufaana.
 
Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
ACT sio wawakilishi wa cdm kwenye lolote. Uzuri Marehemu mwenyewe alijiunga na cdm baada ya kuona ACT wanajipendekeza kuomba haki kwa kwa ccm, wakati cdm walikuwa wanadai haki. Yaani kwa maneno marahisi hata marehemu aliikubali sana cdm, hutaki jinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…