MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
- Thread starter
-
- #21
Komredi hapana aisee. Hayati Bwege alikuwa mzalendo na mjenga hoja mzuri. Hawa wahuni kutumia msiba wake kupiga hela inakera sana.akina heche wanachangisha pesa kwa ajili ya kujikimu maisha wao kama viongozi wa chadema na sio kwaajili ya msiba, hiyo artwork yenye nembo ya chama ni geresha tu.
wana hali mbaya sana kiuchumi hao akina heche, si unajua hawana ajira.
mi nadhani waachwe tu wachangishe maana ndicho wanachoweza, lakini ndio hivyo tena walishasema wahenga kwamba kufa kufaana.
Wewe bwege humjui Heche kaa kimya, nmeishi Tarime naifahamu vizuri familia yao wanaweza kukufuga wewe na wakakupa hizo buku 7 zako za Lumumba hadi siku una deadakina heche wanachangisha pesa kwa ajili ya kujikimu maisha wao kama viongozi wa chadema na sio kwaajili ya msiba, hiyo artwork yenye nembo ya chama ni geresha tu.
wana hali mbaya sana kiuchumi hao akina heche, si unajua hawana ajira.
mi nadhani waachwe tu wachangishe maana ndicho wanachoweza, lakini ndio hivyo tena walishasema wahenga kwamba kufa kufaana.
Kafungue kesi mahakamani sasaKomredi hapana aisee. Hayati Bwege alikuwa mzalendo na mjenga hoja mzuri. Hawa wahuni kutumia msiba wake kupiga hela inakera sana.
Ukiulizwa kadi ya bwege ni namba ngapi utajibu? Hakuna mtu mwenye akili timamu akajiunga CHADEMA mazima. Kumbuka katibu mkuu mstaafu Dr Slaa alikuwa na kadi ya CCM akiwa CHADEMA. Hayati Lowassa hakukabidhi kadi ya CCM.ACT sio wawakilishi wa cdm kwenye lolote. Uzuri Marehemu mwenyewe alijiunga na cdm baada ya kuona ACT wanajipendekeza kuomba haki kwa kwa ccm, wakati cdm walikuwa wanadai haki. Yaani kwa maneno marahisi hata marehemu aliikubali sana cdm, hutaki jinyonge.
Waliiba michango ya mwenyekiti sasa michango ya bwege hawatafikisha siku hizi hawapati fedha za ruzukuWazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
Mkubwa wa kazi nakusalimuWaliiba michango ya mwenyekiti sasa michango ya bwege hawatafikisha siku hizi hawapati fedha za ruzuku
Siaijii
Sijui kadi namba yake, maana hata ya Lisu ambaye ni mwanachama wa muda mrefu, na mwenyekiti siijui. Bwege alijiunga cdm mwezi uliopita, hakuwa ametambulishwa rasmi hadharani maana cdm imezuiwa na Samia kufanya siasa. Hata ukitazama taarifa ya ACT inasema aliyewahi kuwa mwanachama wao, na sio aliyekuwa mwanachama wao.Ukiulizwa kadi ya bwege ni namba ngapi utajibu? Hakuna mtu mwenye akili timamu akajiunga CHADEMA mazima. Kumbuka katibu mkuu mstaafu Dr Slaa alikuwa na kadi ya CCM akiwa CHADEMA. Hayati Lowassa hakukabidhi kadi ya CCM.
Ni rahisi sana kubaini wizi wa chadema kuliko ule wa CAG?Wameshatoa number kuibia watu hali ngumu huko
Hangaika na genge lenu la wahuni la ccm linalouwa na kuteka watu kipumbavu, chadema ni habari nyingine nguruwe nyinyiWazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
Hangaika na genge lenu la wahuni la ccm linalouwa na kuteka watu kipumbavu chadema ni habari nyingineChama la Matapeli
Hayo mapumbavu nguruwe ya ccm hayana akiliCdm imekufa tunasikia zaidi ya miaka 10 sasa. Lakini uchaguzi ni lazima uporwe.
Nashukuru sanaMkubwa wa kazi nakusalimu
Gentleman,Wewe bwege humjui Heche kaa kimya, nmeishi Tarime naifahamu vizuri familia yao wanaweza kukufuga wewe na wakakupa hizo buku 7 zako za Lumumba hadi siku una dead
Comrade,Komredi hapana aisee. Hayati Bwege alikuwa mzalendo na mjenga hoja mzuri. Hawa wahuni kutumia msiba wake kupiga hela inakera sana.
Imekufa mbona mnaifungia kila siku au kufa wenyewe ni kupi?Hali mbaya mmechanganyikiwa mnatukana tuu CHADEMA imekufa