The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
Gharama za msiba sio rambirambi. Hata baada ya kuzikwa bado rambirambi inaweza endelea kukusanywa.Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
View attachment 3565004
CHADEMA waliotafuna michango ya mwenyekiti wao wamekosa uhalali wa kuchangisha rambirambi.Kwani michango ya rambirambi ni kwa ajili ya maziko tu ....!!?
Nyie MaCCM mna ROHO mbaya sana. Rambirambi ni kwa ajili ya WAFIWA.
CHADEMA waliotafuna michango ya mwenyekiti wao wamekosa uhalali wa kuchangisha rambirambi.Gharama za msiba sio rambirambi. Hata baada ya kuzikwa bado rambirambi inaweza endelea kukusanywa.
Kama mabilioni ya umma yanavyoibwa na viongoziWameshatoa number kuibia watu hali ngumu huko
Weka ushahidi.CHADEMA waliotafuna michango ya mwenyekiti wao wamekosa uhalali wa kuchangisha rambirambi.