Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Migogoro ya kijinga ilimtoa Msigwa na hiki Mbowe atalibeba.Mchugaji Msigwa ,anapenda sana rejea chadema , ila sasa anatokaje huko , ndo maana anajisemesha kwamba hawezi kuondoka huko , maana anajua akidhubutu atasema Yesu ni Bwana, hakufa hesabu zake vizuri , yupo na stress sana
Tumeelezwa wazi Mbowe amemsumbua Msigwa zaidi ya miaka 2