CHADEMA acheni mijadala ya kurejeshwa kwa Covid 19, Msigwa au Slaa. Hao sio wenzenu, ni wasaliti, hawahitajiki popote, wanasaka fursa tu.

Mchugaji Msigwa ,anapenda sana rejea chadema , ila sasa anatokaje huko , ndo maana anajisemesha kwamba hawezi kuondoka huko , maana anajua akidhubutu atasema Yesu ni Bwana, hakufa hesabu zake vizuri , yupo na stress sana
Migogoro ya kijinga ilimtoa Msigwa na hiki Mbowe atalibeba.
Tumeelezwa wazi Mbowe amemsumbua Msigwa zaidi ya miaka 2
 
Migogoro ya kijinga ilimtoa Msigwa na hiki Mbowe atalibeba.
Tumeelezwa wazi Mbowe amemsumbua Msigwa zaidi ya miaka 2
Mwanaume unatishwaje na mwanaume mwenzio ? Woga tu , vita vinapigwa ukiwa uwanja wa vita. Huko ccm lipi au kipi kimeongezeka kwake ,
 
CDM inaenda kuwa NCCR come 2026...

Same attitude same face

Usaliti huwa haujadiliwi hadharani, FAM alikaa nalo kwa muda akijua namna linaweza angamiza chama...

Ila sasa wanasema mambo ni wazi wazi 😂

Tuombe uzima...
Chadema bado ipo sana tu, in fact 2026 utakua mwaka wa chadema kufurahia success za 2025 elections.
 
Mkuu unakaribishwa ACT, huko unateseka sana, humu jamvini wenzio wanakutukana tu siku hizi
Mimi ndiye Mwanajf aliyetukanwa zaidi tena Mfululizo kwa zaidi ya miaka 10, pengine kuliko member yeyote.

Sijawahi kuyahofia matusi, maana Matusi na Uchawi ndio faraja pekee ya Masikini ambao wamejazana hapa jf
 
CDM inaenda kuwa NCCR come 2026...

Same attitude same face

Usaliti huwa haujadiliwi hadharani, FAM alikaa nalo kwa muda akijua namna linaweza angamiza chama...

Ila sasa wanasema mambo ni wazi wazi 😂

Tuombe uzima...
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm, na team Mbowe.
 
Mimi ndiye Mwanajf aliyetukanwa zaidi tena Mfululizo kwa zaidi ya miaka 10, pengine kuliko member yeyote.

Sijawahi kuyahofia matusi, maana Matusi na Uchawi ndio faraja pekee ya Masikini ambao wamejazana hapa jf

kuna tofauti kubwa kati ya matusi yanaotoka kwa maadui zako na kwa unaowahisi ni wenzio
 
Kwahiyo nani msaliti hapo? Hebu soma ulichoandika, na ikaweje mkampa fisadi kugombea ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…