Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
kwenye mchango wa gari la Lisu huyo kijana si alichangia milioni 5 pia, au umesahau?🐒Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.
Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja sana kufanya mambo yao kuliko ya kitaasisi, Lissu anachangiwa na demu wake Maria Sarungi hadi leo wanahaha kuchangisha na chadema wameuchuna tu, leo yule fala aliyechana picha ya presidaa kakombolewa kwa michango ya watu wa kabila la Mbowe.
Ndugu yangu Lissu, kama unanisoma nakushauri sana achana na Chadema, Mchungaji Msigwa alibaini haya maupuuzi mapema tu.
Halafu nyie jamiiforuma mkiona post ya kuisema Chadema haikai sana hapa mtandaoni mnaiondoa, zile za kutukana serikali na chama ndio mnazipa kipaumbele.
Hiki n kitu mojawapo kinachoniudhi kutoka chadema, wao kila mpinga ccm/serikali ni mtu wao
Jitahidi kulinda heshima yako kama mtu mzima kuna watoto humu ukihadaa umma hapa inakusaidia nini?una uhakika gani waliochangia ni kabila la Mbowe?Piga kura hapa uone ni watu wangapi watamuunga mkono huyo dogo unaemuita fala Mbwiga weweMtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.
Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja sana kufanya mambo yao kuliko ya kitaasisi, Lissu anachangiwa na demu wake Maria Sarungi hadi leo wanahaha kuchangisha na chadema wameuchuna tu, leo yule fala aliyechana picha ya presidaa kakombolewa kwa michango ya watu wa kabila la Mbowe.
Ndugu yangu Lissu, kama unanisoma nakushauri sana achana na Chadema, Mchungaji Msigwa alibaini haya maupuuzi mapema tu.
Halafu nyie jamiiforuma mkiona post ya kuisema Chadema haikai sana hapa mtandaoni mnaiondoa, zile za kutukana serikali na chama ndio mnazipa kipaumbele.
Ila nyie mnataka ya kuteka watu na kuwapeleka Osterbay polisi kuwatesa kisha kuwapeleka Katavi porini muwaue maiti ziliwe na fisi. Lakini Mungu akikataa na kumrudishia "mfu" uhai mnamdanganya "mama" yenu achangie badala ya kuwakamata kisha mumsifu kwa mchango wa kodi zetu sio?Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.