comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA