CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA

I Wish I Could Be IGP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Mbona kama mkuu umeumia sana na hiyo barua ya Chadema? Kwani hasa ina ubaya gani hiyo? Wewe ulitaka waandikije? Au hukupenda kabisa wao watoe pole kwa watanzania wenzetu na walinzi wetu wa raia na mali zao walivyopata madhira hayo? Naona umepata moto kweli kweli..[emoji3]
 
Wangenyamaza bila kutoa tamko napo bado mngeongea tu. Yaani watu kila kitu ni siasa. Very useless people.
 
Mbona kama mkuu umeumia sana na hiyo barua ya Chadema? Kwani hasa ina ubaya gani hiyo? Wewe ulitaka waandikije? Au hukupenda kabisa wao watoe pole kwa watanzania wenzetu na walinzi wetu wa raia na mali zao walivyopata madhira hayo? Naona umepata moto kweli kweli..[emoji3]
Mkuu CHADEMA tokalini wanahuruma na watanzania? Toka lini? Siyo CHADEMA wanaozunguka dunia nzima kuomba wafadhili na wahisani wazuie misaada na hata mikopo kwa ajili ya watanzania? WAACHE UNAFIKI.
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Siku ukikutana na kadhia za polis na dhuluma za wazi juu yako usije kulialia hapa
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
hata barua ya kijinga

Hili lichama lishajifia

muuajia alikuwa na bastolaz akawaua polisi wawili akachukua silaha zao

eti anatembea na silaha za kivita.... bila kuonekana ( mwendelezo wa kusikia sikia tu)
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Magaidi ni makada wa ccm wala si CDM.
 
Mtu kama wewe huna faida yoyote kwa yeyote. Huna faida kwa CCM, CHAD weEMA, ACT au chama chochote. Huna faida kwa Taifa letu. Wewe ni shetani katika umbile la mwanadamu.

Waliokufa ni binadamu, ni watanzania, ni ndugu zetu, ni watoto wetu wetu, ni wazazi na ndugu, ni wenzetu miongoni mwetu.

Hata kama CHADEMA wanaonewa, lakini hawaonewi na askari kama hao, wanaowaonea CHADEMA, wapo maofisini wakipulizwa na AC, wakiwa kwenye viti vya kuzunguka.

Poleni wanafamilia wa hawa marehemu.
 
Nawapongeza Chadema kwa kuwa chama kinachojielewa. Ndio utanzania huu.
Nawe metal mada umewainua sana Chadema kama hujafahamu
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA

waambie ccm nao watoe ndiyo uzalendo huo,
 
Kwel ww nguchro
Mkuu CHADEMA tokalini wanahuruma na watanzania? Toka lini? Siyo CHADEMA wanaozunguka dunia nzima kuomba wafadhili na wahisani wazuie misaada na hata mikopo kwa ajili ya watanzania? WAACHE UNAFIKI.
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kukamwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Kama wanaonea washauri waache.
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
kinachokutesa ni baada ya chademakutoa pole kabla ya ccm
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Hatua za haraka za kupoteza polisi watatu? Crazy. Jeshi la polisi! wangekuwa wahalifu wawili tu ingekuwaje? Walishindwa kumjeruhi na kumdhibiti ili kuhakikisha wanapata mtandao wake?
 
Back
Top Bottom