CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

Point safi sana Mkuu. Hata mie nilivyoelewa ni kwamba uchangiaji kwenye huduma za wajawazito ulikoma, kwa tozo na misaada toka nje kupunguza vifo vya kina mama na watoto. Ndio maana majibu ya huyu mvuta bangi yanatia karaha sana!
 
Aombe radhi ya Nini mbona Yuko sahihi ujauzito sio ajali watanzania waambiwe ukweli wajifunze kuwajibika kama hawawezi kuwajibika wasizae kabisa mtu Hana elfu 5 ya groves ataleaje huyo mtoto hao ndo wanao zaa machokoraa, vibaka na madada poa
Elfu 50 sio elfu tano. Watanzania wengi sana bado hawana elimu ya kutambua ukiwa huna uwezo usizae sana au usizae kabisa - bado wanaishi kwa filosofia kwamba kila mtoto anakuja na baraka zake. Kwa hiyo viongozi wanapaswa kuchululia level yao ya kuelimika into context.

Mbona wanafurahia u-semi illiteracy wao wa kisiasa kwenye kupiga kura?
 
Alafu kule zenji mjamzito hatoi chochote anahudumiwa kila kitu mpaka anaondoka bure tena wengine wanapewa na pampas kabisa bure..

Mtu wao yupo huku sasa dah!
 
Chadema inabidi wawaamshe watu kutumia uzazi wa Mpango kama Hana uwezo asizae sio lazima Sasa mtu hata elfu 5 ya groves huyo mtoto atalea vipi?

Tuache umayai tujifunze kuwajibika
Wewe ulizaliwa kwa sababu wazazi wako walikuwa na hiyo elimu? Si ajabu hata wewe kuzaliwa kwako ni product ya kutokuwa na elimu ya uzazi wa mpango au umayai. Kwa hiyo hatupaswi kulaumu watu
 
Kiburi tu cha kulewa madaraka na kujua hata iweze watudumu madarakani
Hizo milion 5 kwa kila goli zingetosha gloves kiasi gani katika vituo vya afya?na hizo milio 600 wanazo jinunulia magari kwa fedha za umma wangebqna matumizi wakanunua gari za kawaida ambazo ni secure wangejunua vifaa tiba kiasi gani?mkiongozwa na wajinga haya ndiyo matokeo yake
 
Alafu kule zenji mjamzito hatoi chochote anahudumiwa kila kitu mpaka anaondoka bure tena wengine wanapewa na pampas kabisa bure..

Mtu wao yupo huku sasa dah!
Sio wajawazito tu Wazanzibari huko visiwani wanatibiwa bureeee, vipimo bureeeee,kama una mtu yupo Unguja muulize.
 
FANYENI KAZI MUWEZE KUJIHUDUMIA,SASA HATA ELFU HAMSINI HANA HUYO MTOTO ATALELEWA VIPI.

SERIKALI HAIJAWALAZIMISHA KUBEBA MIMBA.CONDOM ZISIZOPASUKA NI BUKU TU!!!

📌📌KUPANGA NI KUCHAGUA!!!
Hizi dhihaka kwa watanzania mlio wapa umaskin kwa sera mbovu ipo siku mtajibiwa
 
Wewe ulizaliwa kwa sababu wazazi wako walikuwa na hiyo elimu? Si ajabu hata wewe kuzaliwa kwako ni product ya kutokuwa na elimu ya uzazi wa mpango au umayai. Kwa hiyo hatupaswi kulaumu watu
Hilo utajua wewe kama uliletwa duniani bila mipango walaumu wazazi wako na sio serikali
 
Sio wajawazito tu Wazanzibari huko visiwani wanatibiwa bureeee, vipimo bureeeee,kama una mtu yupo Unguja muulize.
UVCCM kwa ujinga wao wanahongwa visent kupigia debe wezi wa mali za serikali na washangilia tu mali za watanganyika zinawaneemesha wazazibari ujinga wa kiwango kikubwa sana huu
 
Aombe radhi ya Nini mbona Yuko sahihi ujauzito sio ajali watanzania waambiwe ukweli wajifunze kuwajibika kama hawawezi kuwajibika wasizae kabisa mtu Hana elfu 5 ya groves ataleaje huyo mtoto hao ndo wanao zaa machokoraa, vibaka na madada poa
KWA HARAKA HARAKA MTU HATA HAWEZI KUJIHUDUMIA YEYE MWENYEWE ILA UNAKUTA ANASHINDANA KUZALIANA HOVYO.NI HATARI🤔
 
FANYENI KAZI MUWEZE KUJIHUDUMIA,SASA HATA ELFU HAMSINI HANA HUYO MTOTO ATALELEWA VIPI.

SERIKALI HAIJAWALAZIMISHA KUBEBA MIMBA.CONDOM ZISIZOPASUKA NI BUKU TU!!!

📌📌KUPANGA NI KUCHAGUA!!!
Utakuta watu kama nyie mnaosema fanyeni kazi wazazi wenu hawana hata elfu hamsini ndio mlizaliwa mazingira ya umasikini sana lakini mmebahatika kuwa na vijisenti sasa mnawaponda wengine. Wazazi wako walipanga kukuzaa wewe au ulitokea tu wakitarajia ungekuja na baraka zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…