Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Point safi sana Mkuu. Hata mie nilivyoelewa ni kwamba uchangiaji kwenye huduma za wajawazito ulikoma, kwa tozo na misaada toka nje kupunguza vifo vya kina mama na watoto. Ndio maana majibu ya huyu mvuta bangi yanatia karaha sana!Aulizwe Mwigulu, Ummy/Jenista, katibu mkuu afya; hela wanazopewa na donors mahususi kwa ajili ya kupunguza vifo vya uzazi wanapeleka wapi kama ata gloves hawana.
Kesho utawaona tena wanapiga picha na wazungu wakiomba msaada wa kifedha kupunguza vifo vya uzazi, wakipewa wanazitafuna.