CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate...

Pamoja na maelezo yako mengi yenye jazba dhidi ya cdm, hilo suala la kuibiwa kura sio jambo tunahadithiwa bali tunaona kwa macho yetu. Kama ni kura za wananchi cdm wanazipata sana, ndio maana chama cha vyombo vya dola inabidi kiibe. Hakuna cha sera wala nini.
 
Ccm huwa wanaandaa mgombea urais?. Mbona 2015 aligombea kichaa kupitia CCM na akaingia ikulu?
 
Ni ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu...

Inawezekana kweli Lissu kanyang’anywa uraia (technically) kumkwamisha kugombea. Sawa.

Lakini hufikiri kuwa litakuwa jambo jema sana CHADEMA wasiposimamisha mgombea uRais? Kwamba nchi itaendelea kuwa na amani na utulivu ambalo ndilo lengo kuu la ilani ya CCM. Sio?
 
Wewe ni boya kweli. Ataingia na passport ya Belgium kuja kugombea urais wa Tanzania?
Yani wafuasi wa lisu karibu wote ni kama yeye tu

..wakimbizi huwa wanapewa travel document ili waweze kusafiri ktk nchi mbalimbali.

..kwa hiyo serikali ya Tz wakimnyima pasi anaweza kuomba serikali ya Ubelgiji impatie pasi ya kusafiri ya wakimbizi ili aweze kwenda kokote anakohitaji kwenda.
 
Au atatumia ya Marekani!
 
Wewe ni boya kweli. Ataingia na passport ya Belgium kuja kugombea urais wa Tanzania?
Yani wafuasi wa lisu karibu wote ni kama yeye tu
Akija Tanzania ni mtanzani wa kuzaliwa na hakuna namna ya kumwambia eti yeye sio mtanzania. Wataanzia wapi kumkana utanzania wake? Sio kila kitu kinawezekana katika macho ya kisiasa, jitiada za rais ni kuondoa madoa meusi yaliyowekwa na mtangulizi wake kimataifa na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya amani, upendo na demokrasia.
 
Back
Top Bottom