Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate...
Wewe una akili sana!Lisu alishachoma passport yake akiukana uraia wa tz
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Alikidhi vigezo vya wataalam wao na pia aliandaliwa.Ccm huwa wanaandaa mgombea urais?. Mbona 2015 aligombea kichaa kupitia CCM na akaingia ikulu?
Ye mwenyewe alikiri kuwa alikuwa anabeep lkn akapigiwa (akasukumiziwamo). Kwahiyo hakuandaliwa.aliandaliwa.
Wanaandaaga kwa siri Mkuu, hii nchi msiidharau kihivyo.Ye mwenyewe alikiri kuwa alikuwa anabeep lkn akapigiwa (akasukumiziwamo). Kwahiyo hakuandaliwa.
Passport anayo?
Ni ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu...
Wewe, Ataingia na passport ya Belgium kuja kugombea urais wa Tanzania?Kuna vilaza wengi wanadhani kurudi Tanzania lazima awe na Passport ya Tanzania
Umegonga mule mule bwashee!Wewe ni boya kweli. Ataingia na passport ya Belgium kuja kugombea urais wa Tanzania?
Yani wafuasi wa lisu karibu wote ni kama yeye tu
Dr Mahera atampokea?..anaweza kupewa pasi ya wakimbizi akasafiri popote anapotaka.
Wewe ni boya kweli. Ataingia na passport ya Belgium kuja kugombea urais wa Tanzania?
Yani wafuasi wa lisu karibu wote ni kama yeye tu
Au atatumia ya Marekani!..wakimbizi huwa wanapewa travel document ili waweze kusafiri ktk nchi mbalimbali.
..kwa hiyo serikali ya Tz wakimnyima pasi anaweza kuomba serikali ya Ubelgiji impatie pasi ya kusafiri ya wakimbizi ili aweze kwenda kokote anakohitaji kwenda.
Au atatumia ya Marekani!
Nilidhani kama MO!..nchi inayoweza kumpa pasi ya wakimbizi ya kusafiria ni Ubelgiji ambako amejihifadhi.
Nilidhani kama MO!
Akija Tanzania ni mtanzani wa kuzaliwa na hakuna namna ya kumwambia eti yeye sio mtanzania. Wataanzia wapi kumkana utanzania wake? Sio kila kitu kinawezekana katika macho ya kisiasa, jitiada za rais ni kuondoa madoa meusi yaliyowekwa na mtangulizi wake kimataifa na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya amani, upendo na demokrasia.Wewe ni boya kweli. Ataingia na passport ya Belgium kuja kugombea urais wa Tanzania?
Yani wafuasi wa lisu karibu wote ni kama yeye tu
Hataki tu kurudi bongo kulima mbaaziNi ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu...