Inahitaji kufanyika kampeni za chini chini na za wazi za kuitangazia jumuiya ya kimataifa maovu ya CCM. Ikikataliwa tu na jumuiya ya kimataifa itaparaganyika. itaacha kuwa kimbilio la watu wanaotafuta maslahi yao binafsi maana "price tag" ya kujihusisha nayo itakuwa kubwa.Upo sahihi. CHADEMA ndiyo chama pekee kinachotegemewa kuchukua nafasi ya kuiongoza Tanganyika. Watanzania hawana hamu tena na CCM. Kinachosubiriwa ni namna tutakavyofanya ili CCM isipore uchaguzi. Uchaguzi halali ukifanyika hata leo, CCM haiwezi kuoata hata 30%.
Heee CHADEMA hawa hawa???π€π€π€Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.
Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu.
1. Kuteua mwanadiplomasia atakayezunguka dunia nzima kujenga mazingira ya uungwaji mkono kuanzia sasa kabla na baada ya kutwaa madaraka. Inawezekana ikawa ngumu kukutana na maafisa wa serikali wa nchi husika, ila kujenga mahusiano ya karibu na vyama vya siasa, taasisi zisizo za kiraia, nk. ni jambo litakalokuwa na faida kubwa huko mbeleni. Katika mikutano ya SADC, AU, UN, DAVOS, etc. inabidi CHADEMA wawe na uwakilishi hata kwenye "sidelines" kujenga network na kubadilishana mawazo na kutafuta uungwaji mkono.
2. Kuanza kuwatambua Watanzania waliopo ndani na nje ya nchi walio ndani na nje ya mfumo wa Serikali ambao wanaweza kuwa msaada mkubwa pale CHADEMA itakaposhika madaraka. Tukumbuke kuna kazi kubwa iliyo mbele ya kufumua mifumo mingi ya Tanzania. Itahitajika kuanza kazi kwa kasi huku njia na malengo yakijulikana. Bila kufanya hivyo, mtajikuta mnategemea na mnaokoteza wahuni wa CCM walioharibiwa na mifumo ya rushwa, ubadhilifu na ukiritimba na ambao watawapotezea muda na nyie muonekane hamfai na msipokuwa makini wananchi watawakataa nyie pia.
3. Kutengeneza roadmap ya jinsi misingi na ngome zote za utawala wa CCM zilizojipenyeza katika taasisi mbalimbali zitakavyovunjwa haraka iwezekanavyo ili zisije zikatumika kuvuruga na kukwamisha kwa makusudi harakati za maendeleo za serikali ya CHADEMA.
Sidhani!Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.

Ukiona chama tawala kinaogopa chaguzi huru, kinaiba kura wakati wa uchaguzi ili kulazimisha kubakia madarakani, kina baka demokrasia,, basi tambua hiyo dalili ya "the last kicks of the dying horse"Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.
Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu.
1. Kuteua mwanadiplomasia atakayezunguka dunia nzima kujenga mazingira ya uungwaji mkono kuanzia sasa kabla na baada ya kutwaa madaraka. Inawezekana ikawa ngumu kukutana na maafisa wa serikali wa nchi husika, ila kujenga mahusiano ya karibu na vyama vya siasa, taasisi zisizo za kiraia, nk. ni jambo litakalokuwa na faida kubwa huko mbeleni. Katika mikutano ya SADC, AU, UN, DAVOS, etc. inabidi CHADEMA wawe na uwakilishi hata kwenye "sidelines" kujenga network na kubadilishana mawazo na kutafuta uungwaji mkono.
2. Kuanza kuwatambua Watanzania waliopo ndani na nje ya nchi walio ndani na nje ya mfumo wa Serikali ambao wanaweza kuwa msaada mkubwa pale CHADEMA itakaposhika madaraka. Tukumbuke kuna kazi kubwa iliyo mbele ya kufumua mifumo mingi ya Tanzania. Itahitajika kuanza kazi kwa kasi huku njia na malengo yakijulikana. Bila kufanya hivyo, mtajikuta mnategemea na mnaokoteza wahuni wa CCM walioharibiwa na mifumo ya rushwa, ubadhilifu na ukiritimba na ambao watawapotezea muda na nyie muonekane hamfai na msipokuwa makini wananchi watawakataa nyie pia.
3. Kutengeneza roadmap ya jinsi misingi na ngome zote za utawala wa CCM zilizojipenyeza katika taasisi mbalimbali zitakavyovunjwa haraka iwezekanavyo ili zisije zikatumika kuvuruga na kukwamisha kwa makusudi harakati za maendeleo za serikali ya CHADEMA.
Moja kwa moja nakubaliana na hoja namba tatu bila ya nyogeza yoyote.Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.
Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu.
1. Kuteua mwanadiplomasia atakayezunguka dunia nzima kujenga mazingira ya uungwaji mkono kuanzia sasa kabla na baada ya kutwaa madaraka. Inawezekana ikawa ngumu kukutana na maafisa wa serikali wa nchi husika, ila kujenga mahusiano ya karibu na vyama vya siasa, taasisi zisizo za kiraia, nk. ni jambo litakalokuwa na faida kubwa huko mbeleni. Katika mikutano ya SADC, AU, UN, DAVOS, etc. inabidi CHADEMA wawe na uwakilishi hata kwenye "sidelines" kujenga network na kubadilishana mawazo na kutafuta uungwaji mkono.
2. Kuanza kuwatambua Watanzania waliopo ndani na nje ya nchi walio ndani na nje ya mfumo wa Serikali ambao wanaweza kuwa msaada mkubwa pale CHADEMA itakaposhika madaraka. Tukumbuke kuna kazi kubwa iliyo mbele ya kufumua mifumo mingi ya Tanzania. Itahitajika kuanza kazi kwa kasi huku njia na malengo yakijulikana. Bila kufanya hivyo, mtajikuta mnategemea na mnaokoteza wahuni wa CCM walioharibiwa na mifumo ya rushwa, ubadhilifu na ukiritimba na ambao watawapotezea muda na nyie muonekane hamfai na msipokuwa makini wananchi watawakataa nyie pia.
3. Kutengeneza roadmap ya jinsi misingi na ngome zote za utawala wa CCM zilizojipenyeza katika taasisi mbalimbali zitakavyovunjwa haraka iwezekanavyo ili zisije zikatumika kuvuruga na kukwamisha kwa makusudi harakati za maendeleo za serikali ya CHADEMA.
Kila kitu kiko mezani. Na mkeka wote uko tayariInawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.

Hivi bado kuna jumuia ya kimataifa iliyoungana na utawala wa Samia?Inahitaji kufanyika kampeni za chini chini na za wazi za kuitangazia jumuiya ya kimataifa maovu ya CCM. Ikikataliwa tu na jumuiya ya kimataifa itaparaganyika. itaacha kuwa kimbilio la watu wanaotafuta maslahi yao binafsi maana "price tag" ya kujihusisha nayo itakuwa kubwa.
Complacence or worse; bad assumption.Kila kitu kiko mezani. Na mkeka wote uko tayari
Watatumika hata wa ccm walio waadilifu na watadhibitiwa. Shida ya uongozi wa nchi yetu ni viongozi wabovu wasio na maadili,maono na ufisadi mwingi! Uongozi bora hakuna kabisa. Hatuna viongozi wenye hofu ya Mungu na ndio maana wapo tayari kufanya chochote hata kuua watu Ili wabaki madarakani kulinda madudu waliyofanya Ili wasije kuwajibishwa endapo ikitokea utawala wenye uadilifu ukikamatwa nchi.Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.
Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu.
1. Kuteua mwanadiplomasia atakayezunguka dunia nzima kujenga mazingira ya uungwaji mkono kuanzia sasa kabla na baada ya kutwaa madaraka. Inawezekana ikawa ngumu kukutana na maafisa wa serikali wa nchi husika, ila kujenga mahusiano ya karibu na vyama vya siasa, taasisi zisizo za kiraia, nk. ni jambo litakalokuwa na faida kubwa huko mbeleni. Katika mikutano ya SADC, AU, UN, DAVOS, etc. inabidi CHADEMA wawe na uwakilishi hata kwenye "sidelines" kujenga network na kubadilishana mawazo na kutafuta uungwaji mkono.
2. Kuanza kuwatambua Watanzania waliopo ndani na nje ya nchi walio ndani na nje ya mfumo wa Serikali ambao wanaweza kuwa msaada mkubwa pale CHADEMA itakaposhika madaraka. Tukumbuke kuna kazi kubwa iliyo mbele ya kufumua mifumo mingi ya Tanzania. Itahitajika kuanza kazi kwa kasi huku njia na malengo yakijulikana. Bila kufanya hivyo, mtajikuta mnategemea na mnaokoteza wahuni wa CCM walioharibiwa na mifumo ya rushwa, ubadhilifu na ukiritimba na ambao watawapotezea muda na nyie muonekane hamfai na msipokuwa makini wananchi watawakataa nyie pia.
3. Kutengeneza roadmap ya jinsi misingi na ngome zote za utawala wa CCM zilizojipenyeza katika taasisi mbalimbali zitakavyovunjwa haraka iwezekanavyo ili zisije zikatumika kuvuruga na kukwamisha kwa makusudi harakati za maendeleo za serikali ya CHADEMA.
Una upeo mdogo sana na kiwango kidogo Cha akili.Heee CHADEMA hawa hawa???π€π€π€
Labda wamwambie Trump awasaidie kupindua utawala kama walivyoshauriwa na Mange KimambiInawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.