CHADEMA andaeni watu na sera za kuiongoza Tanzania. Muda wowote nchi itakuwa mikononi mwenu

CHADEMA andaeni watu na sera za kuiongoza Tanzania. Muda wowote nchi itakuwa mikononi mwenu

Je
Una upeo mdogo sana na kiwango kidogo Cha akili.
Hata wakati wa ukoloni wapo mapapai kama wewe walimuona Nyerere na wenzake kama machizi kwamba wanawezaje kuwafukuza wazungu.lkn wazungu walitoka.
Ni kweli kuwa Nyerere aliwafukuza wazungu?
 
Ukiona chama tawala kinaogopa chaguzi huru, kinaiba kura wakati wa uchaguzi ili kulazimisha kubakia madarakani, kina baka demokrasia,, basi tambua hiyo dalili ya "the last kicks of the dying horse"
CCM ni wajanja sana. Wanatumia nguvu lakini pia wanatengenezea options za ushawishi hata kama ni kwa hila. Hawa kina Mwinyi, Nchimbi, Nanauka na Po.....ni option B ambayo kwa kutumia njia wanazotumia wanaweza kuaminisha watu wasiojielewa kwamba ni "mwanzo mpya" na kwamba kuna matumaini ya mabadiliko huko mbele.
 
Hivi bado kuna jumuia ya kimataifa iliyoungana na utawala wa Samia?

Nauliza swali hili siyo kwa utani utani hata kidogo. Ni jumuia ipi hiyo: Uganda, UAE; Oman, na pengine Burundi na Comoro?

Nikumbushe kama bado kuna nchi ambazo unaweza kusema Tanzania chini ya Samia inao ushawishi juu yake.
Katika kauli yangu nimetofautisha kwa makusudi serikali na CCM, pamoja na kwamba wote wana maovu yao. Inabidi kuwe na msisitizo wa pekee na mbinu za kuiambia jumuiya ya kimataifa maovu ya CCM yenyewe kama taasisi. CCM ni zaidi ya Samia.
 
-chadema ipi? Hii hii ya akina kitima na john heche au tundu lissu?

-mmeanza kujazana ujinga kama ule ya kwamba jeshi lipo nyuma yenu?

-unatambua kuwa hadi sasa tecdema siyo chama cha kisiasa bali ni chama cha kiunaharakati? Unaweza tuambia ni wapi wanaharakati wamewahi kuongoza hata mtaa au kitongoji tu?

Ushauri tu: amka utajinyea kitandani.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Complacence or worse; bad assumption.

There is so much work to be done than one can even contemplate!
Complacence and contemplation represent two different mental states:
one is a often-passive satisfaction with the status quo, while the other is an active, thoughtful examination or dwelling on a subject. While complacence risks stagnation and reduced awareness, contemplation fosters intentional growth, deeper understanding, and spiritual or mental refinement. 🤔
 
Katika kauli yangu nimetofautisha kwa makusudi serikali na CCM, pamoja na kwamba wote wana maovu yao. Inabidi kuwe na msisitizo wa pekee na mbinu za kuiambia jumuiya ya kimataifa maovu ya CCM yenyewe kama taasisi. CCM ni zaidi ya Samia.
Imenibidi nicheke kidogo mkuu 'keynez' niliposoma maneno yako hayo ya mwisho kuhusu "CCM ni zaidi ya Samia".

Unaweza kuwa sahihi kwa maana ya kwamba "CCM si zaidi wa Mwenyekiti yeyote anayeshikilia mamlaka ya nafasi hiyo kwa wakati husika..

Kwa wakati huu siwezi kamwe kukubaliana na wewe kuwa "CCM ni zaidi ya Samia", labda kama unayo maana nyingine.
 
Sikatai kuwa kwa sasa yeye ndiye anahodhi madaraka na ushawishi wote ndani ya chama ila point yangu ni kuwa pamoja na kuwekeza kumuwajibisha yeye, tusisahau kuwa zimwi la CCM likiendelea kubaki hata kwa sura mpya zinazoandaliwa zinazoonekana za "upole" za kina Mwinyi Jr., Nanauka, Nchimbi, nk. mikwamo itaendelea kuwepo hata kama kutakuwa na "matumaini ya muda mfupi".

Ni suala la muda tu kabla zimwi halijaamka tena na kudai damu iliyo fresh. Ndiyo maana nasisitiza kuwe na broader vision na strategy ya kuifutilia mbali CCM kutoka katika usawa wa dunia.
 
Ndiyo maana nilisha sema mara kadhaa humu JF, hadi kuanzisha mada kabisa juu ya jambo lenyewe.
Kwamba kwa namna yeyote Tanzania kamwe haiwezi kuwa salama bila ya CCM kupotea kabisa katika muundo uliopo sasa. Hili haliwezekani kabisa.

Hiyo sote tunayoifahamu kuwa ni CCM haiwezi kuendelea kuwepo katika muundo huo, halafu Tanzania, somehow ifanikiwe katika jambo lolote lile.
This is an undisputable fact.
 
Back
Top Bottom