Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Ni kweli kuwa Nyerere aliwafukuza wazungu?Una upeo mdogo sana na kiwango kidogo Cha akili.
Hata wakati wa ukoloni wapo mapapai kama wewe walimuona Nyerere na wenzake kama machizi kwamba wanawezaje kuwafukuza wazungu.lkn wazungu walitoka.
Lolote laweza kutokea. Hata hili ni mojawapo!Labda wamwambie Trump awasaidie kupindua utawala kama walivyoshauriwa na Mange Kimambi
CCM ni wajanja sana. Wanatumia nguvu lakini pia wanatengenezea options za ushawishi hata kama ni kwa hila. Hawa kina Mwinyi, Nchimbi, Nanauka na Po.....ni option B ambayo kwa kutumia njia wanazotumia wanaweza kuaminisha watu wasiojielewa kwamba ni "mwanzo mpya" na kwamba kuna matumaini ya mabadiliko huko mbele.Ukiona chama tawala kinaogopa chaguzi huru, kinaiba kura wakati wa uchaguzi ili kulazimisha kubakia madarakani, kina baka demokrasia,, basi tambua hiyo dalili ya "the last kicks of the dying horse"
Katika kauli yangu nimetofautisha kwa makusudi serikali na CCM, pamoja na kwamba wote wana maovu yao. Inabidi kuwe na msisitizo wa pekee na mbinu za kuiambia jumuiya ya kimataifa maovu ya CCM yenyewe kama taasisi. CCM ni zaidi ya Samia.Hivi bado kuna jumuia ya kimataifa iliyoungana na utawala wa Samia?
Nauliza swali hili siyo kwa utani utani hata kidogo. Ni jumuia ipi hiyo: Uganda, UAE; Oman, na pengine Burundi na Comoro?
Nikumbushe kama bado kuna nchi ambazo unaweza kusema Tanzania chini ya Samia inao ushawishi juu yake.
Complacence and contemplation represent two different mental states:Complacence or worse; bad assumption.
There is so much work to be done than one can even contemplate!
"aspirational", contemplation fosters intentional growth, deeper understanding, and spiritual or mental refinement.
Imenibidi nicheke kidogo mkuu 'keynez' niliposoma maneno yako hayo ya mwisho kuhusu "CCM ni zaidi ya Samia".Katika kauli yangu nimetofautisha kwa makusudi serikali na CCM, pamoja na kwamba wote wana maovu yao. Inabidi kuwe na msisitizo wa pekee na mbinu za kuiambia jumuiya ya kimataifa maovu ya CCM yenyewe kama taasisi. CCM ni zaidi ya Samia.
Waumini wa tesha , mnashida sanaCaptain Tesha atatuonesha wenzake wazuri katika taasisi Yao.
Sikatai kuwa kwa sasa yeye ndiye anahodhi madaraka na ushawishi wote ndani ya chama ila point yangu ni kuwa pamoja na kuwekeza kumuwajibisha yeye, tusisahau kuwa zimwi la CCM likiendelea kubaki hata kwa sura mpya zinazoandaliwa zinazoonekana za "upole" za kina Mwinyi Jr., Nanauka, Nchimbi, nk. mikwamo itaendelea kuwepo hata kama kutakuwa na "matumaini ya muda mfupi".Imenibidi nicheke kidogo mkuu 'keynez' niliposoma maneno yako hayo ya mwisho kuhusu "CCM ni zaidi ya Samia".
Unaweza kuwa sahihi kwa maana ya kwamba "CCM si zaidi wa Mwenyekiti yeyote anayeshikilia mamlaka ya nafasi hiyo kwa wakati husika..
Kwa wakati huu siwezi kamwe kukubaliana na wewe kuwa "CCM ni zaidi ya Samia", labda kama unayo maana nyingine.
Ndiyo maana nilisha sema mara kadhaa humu JF, hadi kuanzisha mada kabisa juu ya jambo lenyewe.Sikatai kuwa kwa sasa yeye ndiye anahodhi madaraka na ushawishi wote ndani ya chama ila point yangu ni kuwa pamoja na kuwekeza kumuwajibisha yeye, tusisahau kuwa zimwi la CCM likiendelea kubaki hata kwa sura mpya zinazoandaliwa zinazoonekana za "upole" za kina Mwinyi Jr., Nanauka, Nchimbi, nk. mikwamo itaendelea kuwepo hata kama kutakuwa na "matumaini ya muda mfupi".
Ni suala la muda tu kabla zimwi halijaamka tena na kudai damu iliyo fresh. Ndiyo maana nasisitiza kuwe na broader vision na strategy ya kuifutilia mbali CCM kutoka katika usawa wa dunia.
Superbug.! Wewe ni mende, mchwa, nyuki au glitch ya kompyuta?Bonge la Uzi