Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa na vyombo vyao vya habari.
Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama.
2020 hatutegemei mtoe lawama kwa Star tv, Channel ten, ITV huku mkijua fika kuwa vituo hivyo vinafanya kazi kwa hisani ya nani.