Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Labda ngoma itakuwa TCRA kutoa leseni, lakini yafuatayo kituo kitapambana tuu kama sasa hivi kila sehemu inapambanaHabari za hivyo kituo zitapewa tamko zihaririwe Lumumba kabla ya kwenda hewani au magazetini
Mkuu nenda Muhimbili kuna kitendo cha kuongeza ubongo wakuongezeeRuzuku inatumikaje?
Vinasajiliwa na nani? ni hao hao wanaozuia mikutano cha CDM isirushwe.....watakwambia Leseni bado bado bado, hujatimiza kigezo A, Ukimaliza A kinakuja B etc hadi Z
Mtu mwenye hitna huwa hata utu wala chembe ya aibu.
Katika list hiyo mpaka sasa ondoa Independent Television (ITV) inaishi jina lake, iko balanced.Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa vyombo vyao vya habari.
Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020 hatutegemei mtoe lawama kwa Star tv, Channel ten, ITV huku mkijua fika kuwa vituo hivyo vinafanya kazi kwa hisani ya nani.
Ni kwa sababu hujui,Katika list hiyo mpaka sasa ondoa Independent Television (ITV) inaishi jina lake, iko balanced.
Sidhani kama gharama ya kuanzisha kituo cha TV na Redio kama inaweza kuwa kubwa kabisa na kushindwa kumudu wanachama wake 6m.
Mfano wakichangia hata 1,000/ tayari inapatikana Billion 6 hapo ujue wapo watakaotoa elfu 10, wapo wa laki na zaidi ya hapo. Kwa hiyo approximately 15B kupatikana wala sio shida kwa chama cha viwango kama Chadema.
Hebu lifanyiwe kazi hilo Mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika list hiyo mpaka sasa ondoa Independent Television (ITV) inaishi jina lake, iko balanced.
Sasa unadhani hao waliojiunga wakati wa Mamvi waliondoka? Mnajidanganya na wabunge waliokuwa naye kuwarubuni ndio wananchi wa kawaida?Chakaza
Wanachama 6M walikuwa wa Mamvi, kwa sasa wamebakia hawa tu janja janja wa JF.... na wachache mno uraiani.