Uko sahihi kabisaKati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa vyombo vyao vya habari.
Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020 hatutegemei mtoe lawama kwa Star tv, Channel ten, ITV huku mkijua fika kuwa vituo hivyo vinafanya kazi kwa hisani ya nani.
Tatizo ni dhamira kwa viongozi wa chama wenyewe. Wamewahi kupewa pesa na chama rafiki cha Uingereza waanzishe gazeti la chama mwenyekiti Mbowe akaanzishia gazeti lake binafsi la Tanzania daima.Kama Uhuru fm n.k vilidajiliwa hata cha uponzani kitapata usajili tu
Naunga mkono hojaKati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa vyombo vyao vya habari.
Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020 hatutegemei mtoe lawama kwa Star tv, Channel ten, ITV huku mkijua fika kuwa vituo hivyo vinafanya kazi kwa hisani ya nani.
Kwahyo mzee anatupigaTatizo ni dhamira kwa viongozi wa chama wenyewe. Wamewahi kupewa pesa na chama rafiki cha Uingereza waanzishe gazeti la chama mwenyekiti Mbowe akaanzishia gazeti lake binafsi la Tanzania daima.
Wanatuma mashushu wanasajiri kama chombo binafsi baada ya kufanya kazi miezi kadhaa,Hili wazo tuliwahi kulisema sana toka enzi za JK maana hata wakati ule cdm walikuwa wananyimwa coverage mara kwa mara. Ila kwa sasa sidhani kama watapatiwa usajili kutokana na mazingira yaliyopo. Tujaribu hilo maana kwa sasa halikwepeki.