LGE2024 CHADEMA: Baada ya Waziri wa TAMISEMI kusema Wagombea walioenguliwa wakate rufaa, tumepokea taarifa ofisi za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zimefungwa

LGE2024 CHADEMA: Baada ya Waziri wa TAMISEMI kusema Wagombea walioenguliwa wakate rufaa, tumepokea taarifa ofisi za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zimefungwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Chadema tumeshauri mjiondoe kwenye huu uchaguzi hamtaki kusikia Sasa mtapambana wenyewe
 
CCM hawataondoka madarakani kwa kura kwani wanajua kuwa watashindwa vibaya wameamua kuendela kubaki madarakani kwa nguvu ya majeshi ni dhahiri wanatakaitumike nguvu hiyo hiyo kuwaondoa, swali je JW lina wazalendo wa kuweza kuwaondoa hawa wakoloni na makaburu weusi CCM ?
Hii ndiyo silaha yao lakini itafika wakati wananchi watachoka watakuwa tayari kwa lolote
 
Back
Top Bottom