Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Chadema tumeshauri mjiondoe kwenye huu uchaguzi hamtaki kusikia Sasa mtapambana wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo silaha yao lakini itafika wakati wananchi watachoka watakuwa tayari kwa loloteCCM hawataondoka madarakani kwa kura kwani wanajua kuwa watashindwa vibaya wameamua kuendela kubaki madarakani kwa nguvu ya majeshi ni dhahiri wanatakaitumike nguvu hiyo hiyo kuwaondoa, swali je JW lina wazalendo wa kuweza kuwaondoa hawa wakoloni na makaburu weusi CCM ?
Kujiondoa ndiyo CCM wanataka, muhimu kupambana naoChadema tumeshauri mjiondoe kwenye huu uchaguzi hamtaki kusikia Sasa mtapambana wenyewe