CCM hawataondoka madarakani kwa kura kwani wanajua kuwa watashindwa vibaya wameamua kuendela kubaki madarakani kwa nguvu ya majeshi ni dhahiri wanatakaitumike nguvu hiyo hiyo kuwaondoa, swali je JW lina wazalendo wa kuweza kuwaondoa hawa wakoloni na makaburu weusi CCM ?