Pre GE2025 CHADEMA badilikeni au mdondoke kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado hujaelewa siasa mkuu, before that you have to do the given. Kwa nchi kama Tanzania lazma ujitoe ushinde.

..lakini Chadema walishafanya vizuri walipoongoza baadhi ya halmashauri kwa mfano Iringa, Mbeya, Tunduma, Ubungo, nk.

..hata ACT wazalendo waliwahi kuongoza halmashauri ya Kigoma mjini na walifanya vizuri.

..kwa sasa hivi sio rahisi Chadema au wapinzani kudhamini mradi wa kijamii kwa mfano shule, hospitali,... kwasababu lazima wapate ruhusa toka kwa serikali ya Ccm.

..Jambo lingine ni kwamba kuwapa wapigakura fedha, mradi, au zawadi, kwa ahadi ya kupata kura zao, ni makosa / rushwa ktk sheria zetu za uchaguzi.
 
I am concerned with CHADEMA Hapa, sijataka kuongelea vyama nisivyovielewa zaidi, yaani mimi niwaongelee CAF au ACT au NCCR mageuzi am i mad. Mimi nawaongelea chadema hapa, na hayo ndio maoni yangu.
Cha mwisho, okay hivo kwsababuMfumo hauwezi hivo chadema hamna kitu, ndio maoni yako?
Mbona CDM hipo katika Right track kinyume chake labda unataka kifanye ugaidi. Lakini CDM yenyewe inafanya siasa za kistaarabu. Wanachi wenyewe ndiyo wanaweza kuja kutake action kutokana na jinsi mifumo inavyokwenda ila CDM kazi yake ni kufanya siasa, swala la kuporwa ushondi au kudhibitiwa na vyombo vya Dola hilo ni swala la kimfumo hawana uwezo nalo kwa sasa na si jambo la kisiasa ni maswala ya kijinai chama cha siasa hakiwezi kufanya mambo ya kijanai kitatii bila shuruti ila sasa watu kama watu ndiyo huwa wanatake Action. Kwahiyo ukitegemea kuwa kuna siku viongozi wa CDM watatangaza mapambano labda na Serekali kwakuwa vyombo vya dola vinawanyanyasa hilo never ever hapen. Wao watabaki hivyo hivyo kulalamika na baadhi ya viongozi wanaweza wakavuta pesa wakanyamaza.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom