Bado hujaelewa siasa mkuu, before that you have to do the given. Kwa nchi kama Tanzania lazma ujitoe ushinde.
..lakini Chadema walishafanya vizuri walipoongoza baadhi ya halmashauri kwa mfano Iringa, Mbeya, Tunduma, Ubungo, nk.
..hata ACT wazalendo waliwahi kuongoza halmashauri ya Kigoma mjini na walifanya vizuri.
..kwa sasa hivi sio rahisi Chadema au wapinzani kudhamini mradi wa kijamii kwa mfano shule, hospitali,... kwasababu lazima wapate ruhusa toka kwa serikali ya Ccm.
..Jambo lingine ni kwamba kuwapa wapigakura fedha, mradi, au zawadi, kwa ahadi ya kupata kura zao, ni makosa / rushwa ktk sheria zetu za uchaguzi.