Lini umewahi kuchanga?Wanaukumbi.
Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini.
Polis wanawakamata; mnarudi kwenye mitandao kuomba michango mtoe waliokamatwa daah hii ni biashara au deal la Mbowe na wenzake.
Chadema badilikeni kila siku kuawachangia pesa watanzania kwa mtindo huu wamechoka.
Umechoka wewe! Kwanza wewe mataga umechokaje hata senti hujawahi Changa!Wanaukumbi.
Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini....
Kinapotea lkn uchaguzi ukifika mpira kwapaniHiki chama kinaenda kupotea kabisa kina watu wa hovyo kabisa kama huyo alietoka gerezani juzi huko Mbeya ni chizi kabisa anapewa fursa ya kuongea anaongea matusi mazito hadi aibu sasa sijui tunaelekea wapi na hizi siasa mbovu zisizo na stara.
Sheria gani unayosemea taratibu za kufanya mikusanyiko zinafahamika na utaratibu wa vikao vya ndani vya kisiasa haukabadilika sasa nyie mnajifanyia mnavyotaka halafu mnasema kule gerezani unavuliwa nguo ndio mnapekuliwa kwamba mnataka mashine za kuwapekulia mkishaharibu yaani baada ya kununua vifaa tiba mnunuliwe mashine kama mnaenda mlimani city mall hiyo haipo, huko magerezani hakuna tuzo yoyote zaidi ya kujidhihirishia ni wakaidi wa kutii sheria.Jeshi la Polisi ndilo lenye jukumu la ulinzi na usalama na kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.
Jeshi la Polisi linapotoa TAMKO kuzuia mikutano ya kisiasa kiharamu; ni vema vyama vya siasa vikatumia njia za kisheria siyo kukaidi huku wakijua fika watakamatwa!
Kwani lini maharamia wamesha changia.Safari hii watu wamegoma kuchanga,machale yamewacheza.
Hii ngumu sana yani watu wanajitapa kutengeneza tatizo kisha wanapitisha bakuli la michango wakati wao ndiyo walijitapa kuwa wembe ulele watautumia.