CHADEMA badilikeni kila siku tunawachangia pesa kwa mtindo huu

Umchangie nani wewe njaa kali? Umeshaona mbu akamchangia binadamu damu?
 
Kuna mtu kakuomba uchange? Ni hiari
 
Uliwahi kumchangia nani weye mwanakuchanga?
 
Shauri njia nyingine ya kupata pesa.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiki chama kinaenda kupotea kabisa kina watu wa hovyo kabisa kama huyo alietoka gerezani juzi huko Mbeya ni chizi kabisa anapewa fursa ya kuongea anaongea matusi mazito hadi aibu sasa sijui tunaelekea wapi na hizi siasa mbovu zisizo na stara.
Kinapoteaje wakati kilishakufa wakati wa Shujaa fake Mwandazake bin Kayafa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linazuia mikutano ya ndani kwa sheria gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…