econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
On my side I had never understood CDM morons at least I had managed to capture UKAWA's philosophy but from there nothing from CDM rather than creating chaos
Stupid idiot.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
On my side I had never understood CDM morons at least I had managed to capture UKAWA's philosophy but from there nothing from CDM rather than creating chaos
Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi nyekundu, kwa maoni yangu itakuwa ngumu sana kupewa uongozi wa nchi kwa kutumia rangi nyekundu.
La pili kazi kubwa imefanywa katika kuijenga nchi hii, watu wamekufa katika kuitetea nchi hii, nyie mnasema mnatafuta uhuru hapa nchini, mbona naona kama sera na mipango yenu ni ya mashaka sana, badilisheni mipango yenu, hamuwezi kutaka uongozi wa nchi huku mnatukana viongozi, mnatishia kumwaga damu, mnashirikiana na mabeberu kutaka kuisaliti nchi, akina Lissu wameacha familia zao kwao huko Sweden huku wanazuga tu.
Mwisho, waonyeni vijana wenu akina Mdude, Boni Yai, Mwaipaya, Sativa, Martin na akina MAria Sarungi kuwa kwa harakati zenu mnazoendelea nazo huku mkitegemea jumuiya za kimataifa ziwasaidie hamtofanikiwa, mtaumiza vijana wengi nchi hii, kwa sababu hamtafanikiwa kwa lolote, kama uchaguzi wa mitaa umekuwa hivi itakuwaje huo uchaguzi wa mwakani, kesho mnasema mnakaa wakati leo mko na kikao cha Baraza Kuu Dodoma, wenzenu wanajua kila mnachopanga, kesho mnakutana hata mkipanga kupeleka vijana wa kujibu mashambulizi mtapoteza maisha ya vijana hawa, kaeni pamoja na serikali mjadiliane namna ya kufanya siasa za kistaarabu, siasa za akina Lema kumtishia kifo Rais aliye madarakani ni mambo ya kijinga sana haya.
Sijawahi kuielewa CHADEMA....Watapigwa kwenye uchaguzi mkuu mpaka waseme poo wasipojirekebisha...nakuachana na siasa za chuki..uchochezi...vurugu kujifanya wanaelewa mipango ya wengine kuliko ya kwao badala ya kujikita katika kujenga hoja za madhaifu ya wengine...mimi kama mwananchi nisiokuwa na chama siku nikiitaji kuingia kwenye chama hunishawishi kuingia CHADEMA kwani sera zao hazieleweki zaidi ya kumzungumzia mtu fulani.
Ficha upumbavu wako wewe mwehu. Lini Bwana zako ccm waliwahi kuweka uchaguzi huru na wa Haki ili hao Chadema wahukumiwe kwa Haki!? Ninyi ndio wale kwenye mechi za Simba na Yanga hamkawii kulalamika Refa akifanya makosa, ila huku kwenye siasa mnaunga mkono dhuluma. Wapumbavu sana nyie.Sijawahi kuielewa CHADEMA....Watapigwa kwenye uchaguzi mkuu mpaka waseme poo wasipojirekebisha...nakuachana na siasa za chuki..uchochezi...vurugu kujifanya wanaelewa mipango ya wengine kuliko ya kwao badala ya kujikita katika kujenga hoja za madhaifu ya wengine...mimi kama mwananchi nisiokuwa na chama siku nikiitaji kuingia kwenye chama hunishawishi kuingia CHADEMA kwani sera zao hazieleweki zaidi ya kumzungumzia mtu fulani.
Creating chaos by killing Mzee Kibao and abducting others. Nice observation coming from a fool.On my side I had never understood CDM morons at least I had managed to capture UKAWA's philosophy but from there nothing from CDM rather than creating chaos
At least is the democratic ground in such a way that anyone can write what he/she thinks without breaking the law of the land.Creating chaos by killing Mzee Kibao and abducting others. Nice observation coming from a fool.