GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
lakini mnataka ya kwenu watu wa nje waingilie si ndio
Zungumza na mimi, siyo wao.
Mimi sikuzote nawazungumzia waTanzania, hao wa nje ni nyongeza tu ya juhudi zetu.
Kwa hiyo kama unataka mjadala juu ya hilo, tutakwenda sawa.
 
Mwambieni mwenzenu aweke na mm niweke. Tumechoka matusi kutoka kwa wendawazimu.
Hivi uenda wazimu huoni ulivyo. Ni nani hujaza mada za kiwenda wazimu humu zote zinazohusu maslahi ya kundi badala ya nchi!
 
Weka ya kwako tuisome hasi tu broo!!!

Usipoiwwka ya kwako, nitakusamehe! Ahahahahaha!!
EEEEnHEEEE!
'Mtoto wa shule', ile ya St. Augustine vipi, uliweka, tuone inavyoshindana na ya Mh. Heche!

Usifikiri mimi ni limbukeni kama huyu anayepigana juu chini apate uteuzi kwenye serikali inayowatendea maovu waTanzania.
Mimi sipiganii chochote, nje ya maslahi ya Tanzania tu, basi.
 
Weka yako, ww ndio unaniita kilaza! Kigwangala sina shida naye.

Dr,

..achana na wanaotaka kukutoa kwenye reli.

..hebu turudi katika mada yake kwasababu ni mada nzuri.

..swali langu kwako ni kuhusu mazuri na mapungufu katika Tume na utaratibu mzima wa uchaguzi.

..Ni mambo gani ungependa yabakie kama yalivyo?

..Pia yapi unadhani yanafaa kubadilika?

..Naomba kuwasilisha.
 
Ndiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.

Ulisikia wapi CHADEMA wakisema wao ndio watakaozuia uchaguzi?
Kama mtu hasikii na kipofu hawezi kujua yanayoendelea watu wanaona kampeni inaelekea kufanikiwa
 
Heche ni cha mtoto kwangu!
 
Chawa mwingine huyu mbona tatizo la uchawa linakua kwa kasi
 
Hivi uenda wazimu huoni ulivyo. Ni nani hujaza mada za kiwenda wazimu humu zote zinazohusu maslahi ya kundi badala ya nchi!
Comrade kwanza umenikosea sana! Pamoja nakuwa huwa naiweka wazi itikadi yangu, makala zangu zote nilizoandika, kupongeza, kukosoa na kushauri serikali, chama tawala na vyama vya upinzani huwa hazina misingi ya itikadi. Sina hakika kama wenzangu wanaojitanabaisha kuwa makada wa CCM wanaamini mm ni mwenzao kutokana na machapisho yangu kumhusu Tundu Lisu, Askofu Gwajima, maswala ya utekaji, haki jinai na kufunga makanisa.
Every time I write about my skepticism on No reform, No election, you always attack me personally with prejudice. This is not fair. Tuyatumie haya majukwaa kujenga sio kutukana watu tusiowajua.
Kupongeza serikali na kukosoa upinzani sio dhambi.
 

..Reforms ni moja kati ya 4R za Mama.

..mimi ningependa kusikia Reforms ambazo unapendekeza ktk Tume na mifumo yetu ya uchaguzi.

..Mama akikupa nafasi umshauri utamwambia afanye nini ktk Tume ya Uchaguzi?
 
Mkuu 'Adam Francis'; hii uliandika ukitafuta kazi wapi?

Unaandika CV ya namna hii kweli kwenye ushindani, unategemea kuPata kazi, kama siyo kwa mbeleko?

Kitu kama hiki, unaokiweka haPa ni kudanganyia watu wasiokuwa na uzoefu wa maswala kama haya.

Halafu unadai na mimi niweke yangu, nishindane na kitu kama hiki?
Hata kama ingekuwa inawezekana kuweka, nisingejihangaisha .
 
Hoja za CHADEMA zina ukweli, ila approch yao hata Jaji Warioba alisema ina changamoto.
Kukata wagombea haikubaliki, kujificha usipokee fomu za wapinzani haikubaliki, kukataa kuapisha mawakala wa upinzani haikubaliki, kuzuia mawakala wa upinzani wasiingie kwenye vituo vya uchaguzi haikubaliki na kuiba kura haikubaliki. LAKINI kukiuka katiba kuahirisha uchaguzi haikubaliki pia. Padre Kitima kaeleza vyema, CCM na CHADEMA wayafanyie kazi yale yanayowezekana, vyama vyote vishiriki uchaguzi.
Kugomea kuwa na muafaka ili uchaguzi ufanyike ni jambo ambalo mm sioni kama lina tija kwa taifa.
 
Heche ni cha mtoto kwangu!
Sasa na yeye tumwombe alete CV yake hapa ili tulinganishe na ya kwako, hatuwezi kuona tu tofauti kubwa iliyopo kati yenu kwa maswala ambayo kila mtu anayaona katika matendo yenu?
 
Sasa na yeye tumwombe alete CV yake hapa ili tulinganishe na ya kwako, hatuwezi kuona tu tofauti kubwa iliyopo kati yenu kwa maswala ambayo kila mtu anayaona katika matendo yenu?
Yangu ipo mitandaoni. Kazi rahisi sana kui upload. Ishu ni ya kwako. Utaiweka? Ahahahahaha!!
 
Mkuu mm sitafuti kazi tena, nimeshakuwa senior officer sasa, nikiacha kazi sasa, labda iwe kwenda kwenye International Organisation! By the way, humu jamii forum kuna watu kibao wananifahamu, nasema hivyo kwasababu wananitext DM, sometimes, kunisalimu, sometimes kunikumbusha tulikotoka, sometimes kunionya ninapokosoa kwani ID yako siyo fake.
Hii nilikueleza wewe ili uache kuniita kilaza.
 
Mkuu, nitapenda sana kujibu hoja kama hii hapa. Wewe siyo "mjenzi", wewe ni "mbomoaji"; tena ; 'ruthless' mbomoaji kwelikweli.
Ungekuwa na chembe hata ndogo ya ujenzi ndani ya mada zako, sina shaka hata kidogo kuwa ningeziona na kuzipa nafasi.
Sioni chochote toka kwako kinachohusu ujenzi wa taifa letu lenye umoja chini ya uongozi huu ulioo madarakani.

Huwa sibahatishi; nielewe tu hivyo.
 
Jamaa kashaleta vyeti vyake au anaogopa uhakiki ?
 
We
Well, nadhani tukubaliane kutokukubaliana ili maisha yaendelee.
 
No reform no elections ni null and void agenda katika ulimwengu wa demokrasia 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…