Sikumbuki kutumia neno hilo, "kilaza"; lakini kama nimelitumia itakuwa ni mahali s'secific'. Msukumo wangiu mzima humu, ni kukataa ulimbukeni. Kama hiyo MD unaona inakuPa sifa ya kuonyesha mawazo yako ni sahihi wakati ni batili; hilo ni lazima litazungumziwa.Mkuu mm sitafuti kazi tena, nimeshakuwa senior officer sasa, nikiacha kazi sasa, labda iwe kwenda kwenye International Organisation! By the way, humu jamii forum kuna watu kibao wananifahamu, nasema hivyo kwasababu wananitext DM, sometimes, kunisalimu, sometimes kunikumbusha tulikotoka, sometimes kunionya ninapokosoa kwani ID yako siyo fake.
Hii nilikueleza wewe ili uache kuniita kilaza.
Ukiwaambia ukweli huu wafuasi wa CHADEMA, wanakasirika nakuanza kuporomosha matusi.No reform no elections ni null and void agenda katika ulimwengu wa demokrasia 🐒
Lakini usisahau kuwa nililelewa na kutunzwa vizuri sana ndani ya CCM. Kwa hiyo, kama hiyo itakuwa ndiyo CV yangu, nina hakika ni CV ninayojivunia maisha yangu yote.Huyo CV yake ni kukosoa Ccm
Hoja za CHADEMA zina ukweli, ila approch yao hata Jaji Warioba alisema ina changamoto.
Kukata wagombea haikubaliki, kujificha usipokee fomu za wapinzani haikubaliki, kukataa kuapisha mawakala wa upinzani haikubaliki, kuzuia mawakala wa upinzani wasiingie kwenye vituo vya uchaguzi haikubaliki na kuiba kura haikubaliki. LAKINI kukiuka katiba kuahirisha uchaguzi haikubaliki pia. Padre Kitima kaeleza vyema, CCM na CHADEMA wayafanyie kazi yale yanayowezekana, vyama vyote vishiriki uchaguzi.
Kugomea kuwa na muafaka ili uchaguzi ufanyike ni jambo ambalo mm sioni kama lina tija kwa taifa.
licha ya matusi yao,Ukiwaambia ukweli huu wafuasi wa CHADEMA, wanakasirika nakuanza kuporomosha matusi.
Ndiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.
Ulisikia wapi CHADEMA wakisema wao ndio watakaozuia uchaguzi?
Ndiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.
Ulisikia wapi CHADEMA wakisema wao ndio watakaozuia uchaguzi?
Kususia uchaguzi ni mojawapo ya njia halali ya kuonyesha kwamba hukubakiana na mwenendo wa mambo. Kushiriki uchaguzi usioheshimiwa ndio kutatatua changamoto tunazozilalamikia? Kutenda jambo lile lile ukitegemea matokeo tofauti ni matumizi mabaya ya akili .Je, kususia uchaguzi ndio kutatatua hizo changamoto mnazozilalamikia?
Comrade weka CV yako hapa tuone? Mm nimeshawahi kuwa nominated kuwa international observaer wa uchaguzi mkuu wa nchi, ww biggest achievement yako ni ipi?Sikumbuki kutumia neno hilo, "kilaza"; lakini kama nimelitumia itakuwa ni mahali s'secific'. Msukumo wangiu mzima humu, ni kukataa ulimbukeni. Kama hiyo MD unaona inakuPa sifa ya kuonyesha mawazo yako ni sahihi wakati ni batili; hilo ni lazima litazungumziwa.
Nimeelezea hiyo unayoiita wewe CV kuwa ni kama ya kuombea kazi, kwa namna ulivyo iwasilisha, imekaa hivyo.
Na usitake kuzuga watu haPa juu ya uhitaji wako wa kuteuliwa kisiasa. Wewe hutakuwa mtu wa kwanza, tena ambaye 'qualification' zake zipo chini sana. Ni wangaPi wenye fani ya utibabu ambao walisha acha nafasi zao na kuwa wateule wa kisiasa!
Ndiyo maana nasema, wewe siyo mtu mkweli. Unazo tabia za kidanganyifudanganyifu sana. Zinajionyesha zenyewe kwenye michango yako humu.
Truth be told, kwani Jaji Warioba sio CCM? Au Mzee Butiku siyo CCM? Je, ulimsikia Wasira alisema nini? Hakuna anayekataa reforms, mwanzilishi wa reforms ni Rais Samia kupitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani...kwa hiyo hukubaliana na Ccm kugomea mabadiliko.
..Na hukubaliani na Chadema kugomea uchaguzi.
..Je, unakubaliana na Tume Huru kuendelea na uongozi wa zamani badala ya kuteuliwa kwa kufuata mchakato ulioelekezwa na Sheria mpya?
Unaendelea na ulimbukeni ule ule, naona umo ndani ya damu haswa na siyo kwenye akili pekeeComrade weka CV yako hapa tuone? Mm nimeshawahi kuwa nominated kuwa international observaer wa uchaguzi mkuu wa nchi, ww biggest achievement yako ni ipi?
Enough said.Sikuendelea na siasa kwasababu nimeridhika na ajira yangu. I wish nikwambie nafanya kazi wapi ili ufunge mdomo wako. Ila siwezi shindwa kuzuia emotions zangu zinitoe kwenye maadili yangu ya utumishi wa umma.
Ila ukae ukijua mm nilishawahi kuwa sehemu za delegation za kitaifa za CCM nje ya nchi. Mm ni miongoni mwa wenyeviti waanzilishi wa shilikisho la CCM vyuo vikuu ngazi ya mkoa.
Sasa fikiria mwenyewe, mtu mwenye akili timamu anaandika mambo kaama haya! Na huyu anasema akili yake iko huru, hafungamani na upande wowote?pitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani
Hivi kweli upo sawasawa wewe?Padre Kitima, Askofu Pisa wate wanashauri CCM na CHADEMA wakae pamoja wajadiliane yanayowezekana kufanyika yafanyike ile uchaguzi mkuu ufanyike. Lakini CHADEMA ndio kikwazo, wanataka uchaguzi uahirishwe, ww hili unaona linawezekana?
Wewe unaonekana unachotaka siyo reforms, ni vurugu tu na kuharibu amani ya nchi.Unaendelea na ulimbukeni ule ule, naona umo ndani ya damu haswa na siyo kwenye akili pekee
Enough said.
Halafu kiumbe kama wewe bado huoni jinsi nchi yetu inavyonajisiwa; watu kama wewe kweli mnazo akili kichwani mwenu? Unaishi uweje kama huoni uchungu mkubwa juu ya taifa lako linakoelekea wakati huu!
Halafu unakuja hapa na kujigambagamba hivi?
Unataka iweje, ndipo ikustue wewe na hao wengine wote?
Umeulizwa swali haa rahisi kabisa na mkuu 'Joka Kuu', ambalo sote siku zote tunauliza, lakini huoni kuwa ni swali muhimu, badala yake unatuwekea CV nyepesi nyepesi hapa ukidhani tutakuwa 'impressed'!
Unakazania CV yangu ili iweje, mje mnimalize? Fahamu tu kuwa CV yangu ni nzito maradufu ya hiyo unayojigamba nayo.
Sasa nikuulize, mansubiri hadi uharibifu uweje, ndio mtambue kwamba nchi yetu inaangamia?
CCM bado mnaamini mtaiba uchaguzi mwaka huu?April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Kwanini hawakupata watendaji wengi kwenye uchaguzi wa SM? Nini kinakufanya uamini hayo unayotaka tuamini?Kushiriki uchaguzi na wabunge wa Chadema wangepatikana wakutosha.
October tuna ✅️
Haaa,, hatari sana.Kwanini hawakupata watendaji wengi kwenye uchaguzi wa SM? Nini kinakufanya uamini hayo unayotaka tuamini?
UnaPenda kitu gani ndani ya CCM sasa hivi, 'seriously'!Kumtukana Rais, kutukana serikali, na kutukana CCM, sio achievements. Pia kuwa mwana CCM hakumaanishi ni mjinga.
Kama mnavyoamini katika CHADEMA tuacheni na sisi tuamini katika CCM. Ila kututukana kuwa tunatafuta uteuzi wakati hamjui maisha yetu ni kutuvunjia heshima. Tunaitetea CCM kwasababu tunaipenda.