Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Truth be told, kwani Jaji Warioba sio CCM? Au Mzee Butiku siyo CCM? Je, ulimsikia Wasira alisema nini? Hakuna anayekataa reforms, mwanzilishi wa reforms ni Rais Samia kupitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani.
Padre Kitima, Askofu Pisa wate wanashauri CCM na CHADEMA wakae pamoja wajadiliane yanayowezekana kufanyika yafanyike ile uchaguzi mkuu ufanyike. Lakini CHADEMA ndio kikwazo, wanataka uchaguzi uahirishwe, ww hili unaona linawezekana?
Umesoma wapi nikielezea hayo.Wewe unaonekana unachotaka siyo reforms, ni vurugu tu na kuharibu amani ya nchi.
Zama za mwendazake wakati huo uchaguzi ulifanyika mwaka jana mwishoni?!Haaa,, hatari sana.
Zama za mwendazake zimepita.
Different approaches, but hopefully we come to the same conclusion...Ndio maana mwanzo kabisa nilikuuliza kuhusu pendekezo lolote la Chadema ambalo hukubaliani nalo
..Reforms ni agenda ya Mama, sasa kwanini hazitekelezwi?
..Mimi ningependa unishawishi kuhusu ubaya au madhara ya kufanya Reforms kabla ya uchaguzi.
Truth be told, kwani Jaji Warioba sio CCM? Au Mzee Butiku siyo CCM? Je, ulimsikia Wasira alisema nini? Hakuna anayekataa reforms, mwanzilishi wa reforms ni Rais Samia kupitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani.
Padre Kitima, Askofu Pisa wate wanashauri CCM na CHADEMA wakae pamoja wajadiliane yanayowezekana kufanyika yafanyike ile uchaguzi mkuu ufanyike. Lakini CHADEMA ndio kikwazo, wanataka uchaguzi uahirishwe, ww hili unaona linawezekana?
Mm ni Doctor of Medicine, MD holder, mwenye usajili kamili wa baraza la madaktari MCT, namba yangu ya usajili ni MCT0129, currently in my second year of my specialization in MMED Internal medicine. I am a senior medical officer with extensive 10yrs experience of working in and out government. I have been president of university students organization in my undergraduate training as well as chief resident in my postgraduate training, serving in post such as member to school boards, member of university college governing board, member to university senate, member to university council. In my prime year of school politics I served a the secretary General to the East Aftrican Community Students Union.
Naomba na mwenzangu huyu anayeniita kilaza kila siku useme CV yake.naendelea kuthibitisha tofauti na elim na akili
Different approaches, but hopefully we come to the same conclusion.
Mm mwenyewe natamani CCM na CHADEMA wafike muafaka! Mwisho wa siku hii nchi ni yetu sote na tunajenga nyumba moja. Hii vita ya kugombea fito haitusaidiiKitendo cha SAMIA kutovunja Bunge ni ishara tosha wanaweza kuja kukabiliana na hoja za CDM.
Hope CDM walipiga hesabu zao vizuri,imagine kwenye vyama vya upinzani vya Chauma,Cuf,& ICT ni mgombea gani ana ushawishi ambaye anaweza kupita hata asipo pendelea-Jibu ni Zitto kabwe pekee.
Je Bunge nzima kuwa na Mbunge 1 wa Upinzani kama ilivyokuwa mwanzo,impact yake ni nini???
Uungwana ni kukubali ulipokosea, kurekebisha na kusongo mbele. Mkuu wa nchi anazo njia stahiki za kufanya hivyo bila kujitweza na kutweza mamlaka ya ofisi yake, kama CHADEMA wanayo nia ya dhati ya kushiriki uchaguzi, ni imani yangu Rais yupo tayari kuwasikiliza kwa mambo yanayowezekana...Chadema wameshiriki chaguzi 6 chini ya Tume hiihii ya hovyo.
..Sioni hoja za kuwashawishi washiriki uchaguzi wa 7 ukizingatia experience waliyopitia.
..Na upo ushahidi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ambao Mama mwenyewe aliyekuja na 4R aliuharibu.
..Kikatiba Rais ndiye waziri wa Tamisemi. Kwa msingi huo aliyesimamia na kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa ni Ssh, sio Mchengerwa.
Uungwana ni kukubali ulipokosea, kurekebisha na kusongo mbele. Mkuu wa nchi anazo njia stahiki za kufanya hivyo bila kujitweza na kutweza mamlaka ya ofisi yake, kama CHADEMA wanayo nia ya dhati ya kushiriki uchaguzi, ni imani yangu Rais yupo tayari kuwasikiliza kwa mambo yanayowezekana.
Kwani unapinga kuwa Rais hakuasisi 4R?..Reforms si agenda ya Raisi?
..sasa kama hazijatekelezwa huoni ndio kumtweza, na kumtukana, Raisi?
..Chadema wamesema tena na tena kuwa yakifanyika mabadiliko watashiriki.
..sasa kwanini Raisi hafanyi mabadiliko? Kwanini Raisi hatekelezi hata Sheria ambayo tayari ameisaini?
..Kwa mfano kwanini uchaguzi wa serikali za mitaa haukusimamiwa na Tume?
..Au kwanini Raisi hajateua Tume kwa kufuata mchakato wa sheria mpya? Hilo nalo linahitaji kuzungumza na Chadema?
Dalili zote zilizopo sasa hivi; uchaguzi wa Oktoba kama utafanyika katika mazingira yaliyopo sasa, utakuwa ni uchaguzi wa hovyo kabisa kuzishinda zote zilizowahi kufanyika miaka ya nyuma; baada ya uwepo wa vyama vingi...Chadema wameshiriki chaguzi 6 chini ya Tume hiihii ya hovyo.
..Sioni hoja za kuwashawishi washiriki uchaguzi wa 7 ukizingatia experience waliyopitia.
..Na upo ushahidi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ambao Mama mwenyewe aliyekuja na 4R aliuharibu.
..Kikatiba Rais ndiye waziri wa Tamisemi. Kwa msingi huo aliyesimamia na kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa ni Ssh, sio Mchengerwa.
Je, kususia uchaguzi ndio kutatatua hizo changamoto mnazozilalamikia?